Festo Andrews
Member
- Apr 1, 2022
- 93
- 139
Kristu?
Assalamu alaikum
Karibu kwenye muendelezo wa thread zinazohusu research writing and data analydid na leo nitaelezea kidogo kipengele cha data collection ambacho kwa asilimia kubwa watu wengi huwa wanatumia questionnaire au interview papers.
Kwahiyo kama wewe bado huwa unachapisha dodoso au kuziprint kwa ajili ya kuzitumia kwenye tafiti zako karibu unisikilize kidogo.
Tukienda kwa uhalisia wa mambo, hivi umeshatumia muda gani, gharama kiasi gani na nguvu kiasi gani kuchapisha na kuprint hizo dodoso zako?
Umetembea mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba, kijiwe kwa kijiwe, watu wamekusumbua kukupa ushirikiano halafu baadaye unakaa chini na kuanza kuingiza majibu uliyiyapata kwenye kompyuta inachosha..!!
Pia usisahau kuna makosa ya kuandika pale, na maswali yaliyopuuzwa na hao watu , huku wewe ukipitia msongo wa kuwafuata watu umeshika zako kalamu na karatasi mkononi 😫
Kama mtu niliyejikita na kusaidia watu kufanya research zao nataka kusema kuwa ukweli ni huu: haupaswi kuendelea na hiyo njia unayoitumia kuteseka sio sifa.
Kuna hii tool inaitwa KoboToolbox na app yake inayoitwa KoboCollect,
unaweza kuzitumia kuunda dodoso zako online, kisha ukazituma moja kwa moja kwa washiriki wako, na kukusanya data hata ukiwa offline. Hakuna kuprint wala hakuna cha kuandika kwa mkono kwa kuwafuata watu majumbani kwao. KUTESEKA SIO SIFA
Kazi yako kubwa ni unaandaa maswali mtandaoni,kisha unashare link kwa mtu yeye anadungua anakutana na maswali yako anayajibu then boom majibu yanaanza kuingia, yakiwa yamepangwa vizuri na tayari kwa kuchambuliwa kwenye Excel au SPSS.
Unajua kutumia hiyo mbinu utakuwa umeokoa vitu vingapi?
Kwanza utaokoa....
1.Muda (hakuna kutembea na makaratasi)
2.Fedha (hakuna gharama za print)
3.Nguvu (hakuna kuandika mara mbili)
Na cha kufurahisha zaidi? Ubora wa data unakuwa mzuri zaidi no errors, na unaanza kufurahia process yako nzima ya kufanya research yako.
Kama bado unateseka na dodoso za karatasi, pengine huu ndio wakati wako wa kujaribu KoboToolbox.
Kama kuna tool nyingine unaitumia kucollect data kupitia kushare link ningependa ushare na mimi kwenye comment nipo tayari kujifunza
Ukihitaji mawasiliano zaidi na mimi napatikana kwa namba 0765772976
Amani na iwe kwako msomaji wangu