Enzi za Mtei na Bob Makani kupata kadi ya CHADEMA ilikuwa lazima uombe kwa barua, Mbowe akamuiga Mrema kadi za papo kwa papo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,068
164,386
Ndivyo ilivyokuwa KADI ya Chadema ilithaminiwa sana na kuheshimiwa

2005 alipoingia Mbowe na wakati anagombea Urais ndio zikaanza KADI za Papo Kwa Hapo kama za Mrema 1995

Ndio hiyo zoa zoa ikawaingiza Chamani akina Mchungaji Msigwa na wale wanafanana naye 😄😄

Mlale Unono 😄
 
Ndiyo maana chama kimejaza nyumbu
 
Mlafi ni mlafi tu, haijalishi ameingiaje. Unadhani kuandika barua ndiyo ingezuia mlafi kuhamia ccm?
 
Back
Top Bottom