Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Prof. Lipumba, "sisi kama CUF tunaweza kukiimarisha chama na kusimamia haki na usawa na kupambana na ufisadi. Wenzetu Chadema toka Lowassa aingie kwenye chama hawana uwezo na ujasiri wa kupambana na ufisadi. Wamepoteza mwelekeo. Magufuli anasema Hapa Kazi Tu sisi tunasema Hapa Haki Tu." (Azam Tv 2)
My Take:
Vijana wa Chadema kanusheni au mkiri ukweli. Chadema inayo moral authority ya kupambana na ufisadi? Semeni kweli kutoka mioyoni. Ni kwa nini ile List of Shame imeondolewa kwenye tovuti ya chama?
"Ninao ushahidi wa ufisadi wa Lowassa na Rostam"- John Mnyika.
"CCM imempa fomu ya kugombea Urais fisadi Lowassa, hatari"- Tundu Lissu
"Nashangaa vibaka wanakamatwa na kuchomwa Moto fisadi Lowassa anaachwa kutamba"- Freeman Mbowe
"Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowassa"- Godbless Lema
"Ni wajinga tu wasio na akili wanaweza kumshabikia fisadi Lowassa"- Peter Msigwa
[HASHTAG]#UzalendoKwanza[/HASHTAG]!
Mpk Leo lowaasa hakuna habari nyingine inayovutia
Kama lowasa alikuwa fisadi na nyie mna polisi,jwt,Magereza,tiss,mgambo,green KAKWA,mahakamani,tume zote bado mkasubiri kudanganywa na chadema basi ni wakati wa kuachia madaraka.Na Kama Lowasa Siyo Fisadi Kwanini Walitudanganya Kwa Miaka Nane, Tuwaamini Kwa Lipi?
Hii ni cheap politic.Prof. Lipumba, "sisi kama CUF tunaweza kukiimarisha chama na kusimamia haki na usawa na kupambana na ufisadi. Wenzetu Chadema toka Lowassa aingie kwenye chama hawana uwezo na ujasiri wa kupambana na ufisadi. Wamepoteza mwelekeo. Magufuli anasema Hapa Kazi Tu sisi tunasema Hapa Haki Tu." (Azam Tv 2)
My Take:
Vijana wa Chadema kanusheni au mkiri ukweli. Chadema inayo moral authority ya kupambana na ufisadi? Semeni kweli kutoka mioyoni. Ni kwa nini ile List of Shame imeondolewa kwenye tovuti ya chama?
"Ninao ushahidi wa ufisadi wa Lowassa na Rostam"- John Mnyika.
"CCM imempa fomu ya kugombea Urais fisadi Lowassa, hatari"- Tundu Lissu
"Nashangaa vibaka wanakamatwa na kuchomwa Moto fisadi Lowassa anaachwa kutamba"- Freeman Mbowe
"Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowassa"- Godbless Lema
"Ni wajinga tu wasio na akili wanaweza kumshabikia fisadi Lowassa"- Peter Msigwa
[HASHTAG]#UzalendoKwanza[/HASHTAG]!
Wewe unawaza Kwa katumia masaburiHii ni cheap politic.
Nchi hii imetoka katika mfumo wa chama kimoja na wengi waliopo upinzani walikuwa CCM na wengine hata kadi hawakurudisha kwa hivyo Lowasa kuhamia CDM si jambo la ajabu sana.
Kuhusu ufisadi wa Lowasa,hii ni kweli kuwa opposition walimshambulia lakini kwa habari walizokuwa nazo (ukumbuke wamemtuhumu mtu ambaye ana wadhifa serikali na yupo chama kingine) lakini baada ya kuingia CDM wameweza kupata maelezo kutoka kwenye kinywa cha Lowasa mwenyewe na kumbuka Lissu alisema "kamati kuu ya CHadema haikujaa watu wajinga" kwa maana Lowasa alipigwa maswali ya uhakika mpaka watu kuridhika.Kwa maneno mengine walipata fursa ya kuyajua hata yale ambayo walikuwa hawayajui!
Sasa Lowasa yupo CDM na tulitegemea kuwa mapungufu ambayo yanajulikana kwa watawala yangepelekea alale Keko lakini mpaka leo yuko huru.
Tumlaumu nani,CCM na serikali yake ambayo ina all machinery ya kumshughulikia fisadi au Chama cha Upinzani ambacho hata mgambo hakina?
AsanteeeWewe unawaza Kwa katumia masaburi
Hata ivyo aliye mleta Lowasa ukawa nan Bwana yule ajitasmini upyaHii ni cheap politic.
Nchi hii imetoka katika mfumo wa chama kimoja na wengi waliopo upinzani walikuwa CCM na wengine hata kadi hawakurudisha kwa hivyo Lowasa kuhamia CDM si jambo la ajabu sana.
Kuhusu ufisadi wa Lowasa,hii ni kweli kuwa opposition walimshambulia lakini kwa habari walizokuwa nazo (ukumbuke wamemtuhumu mtu ambaye ana wadhifa serikali na yupo chama kingine) lakini baada ya kuingia CDM wameweza kupata maelezo kutoka kwenye kinywa cha Lowasa mwenyewe na kumbuka Lissu alisema "kamati kuu ya CHadema haikujaa watu wajinga" kwa maana Lowasa alipigwa maswali ya uhakika mpaka watu kuridhika.Kwa maneno mengine walipata fursa ya kuyajua hata yale ambayo walikuwa hawayajui!
Sasa Lowasa yupo CDM na tulitegemea kuwa mapungufu ambayo yanajulikana kwa watawala yangepelekea alale Keko lakini mpaka leo yuko huru.
Tumlaumu nani,CCM na serikali yake ambayo ina all machinery ya kumshughulikia fisadi au Chama cha Upinzani ambacho hata mgambo hakina?
Prof. Lipumba, "sisi kama CUF tunaweza kukiimarisha chama na kusimamia haki na usawa na kupambana na ufisadi. Wenzetu Chadema toka Lowassa aingie kwenye chama hawana uwezo na ujasiri wa kupambana na ufisadi. Wamepoteza mwelekeo. Magufuli anasema Hapa Kazi Tu sisi tunasema Hapa Haki Tu." (Azam Tv 2)
My Take:
Vijana wa Chadema kanusheni au mkiri ukweli. Chadema inayo moral authority ya kupambana na ufisadi? Semeni kweli kutoka mioyoni. Ni kwa nini ile List of Shame imeondolewa kwenye tovuti ya chama?
"Ninao ushahidi wa ufisadi wa Lowassa na Rostam"- John Mnyika.
"CCM imempa fomu ya kugombea Urais fisadi Lowassa, hatari"- Tundu Lissu
"Nashangaa vibaka wanakamatwa na kuchomwa Moto fisadi Lowassa anaachwa kutamba"- Freeman Mbowe
"Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowassa"- Godbless Lema
"Ni wajinga tu wasio na akili wanaweza kumshabikia fisadi Lowassa"- Peter Msigwa
[HASHTAG]#UzalendoKwanza[/HASHTAG]!
Lema ndio kamaliza "Ni heshima kwa mungu kumzomea na kumtukana mtu fisadi kama Lowasa".