Entourage ya Marais wa Africa kwenda Western Countries huwa ni ya "kufa mtu", Je entourage ya Marais waliofika hapa kwenye mkutano wa Nishati ikoje?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
44,495
82,875
Tumeona marais wa Kiafrika wakienda Ulaya/marekani wanakwenda na kundi kubwa la watu. Wanakwenda kutalii, kufanya shopping and the like.... wamepata nafasi ya kutalii.

Je Mkutano unaoendela Dar, entourage zao zikoje? Wameambatana na watu wangapi, just by casual observation kwa mlio Dar?
Au kwa vile kwao na hapa hamna tofauti, ni "takataka" kwa "takataka" hakuna mwenye uchu wa kuambatana na Rais wake?

Hapa nyyumbani


View: https://www.facebook.com/watch/?v=826506595836493

Entourage
A group of people attending or surrounding an important person
 
Inavyoonekana wamekuja watu wachache tu.yawezekana waliona TZ hakuna Cha kujifunza ndiyo maana hawakuhangaika kuambatana na makundi ya watu maana Nchi zote za huko zinatuzidi uchumi.
 
Ngumu sana kwa maskini kuwa mgeni kwenye nyumba ya maskini bali maskini ni rahisi kwenda kwa tajili maana Kuna kitu atapata.
 
Captain Traore kagoma kuja.
 

Attachments

  • Screenshot_20250128_111244_Chrome.jpg
    Screenshot_20250128_111244_Chrome.jpg
    417.9 KB · Views: 1
Duh, Chadema Wana uhusiano Gani na hao Marais ilihali Hawa wageni ni wa kiserikali? John the Baptist Kwa taarifa serikali haijakosa mahali pa kuwatunza wageni.
asante sana kwa kumwambia . Huyu mkaa wa cuba na ukisha kaa cuba akili inadumaa...unawaza kijinga jinga
 
Waafrica ni viumbe vya ajabu sana. Huo mkutano ungepangwa kufanyikia Ulaya hakika pasingetosha!
 
Back
Top Bottom