sasa kwa uingireza uache kumtukana mtendaji mkuu wa serikali ukamtukane malkia si kujitaftia matatizo mwenyewe..hujui hata kulinganisha
Malkia sawa na rais?? Acha uongo wewe!! Malkia yupo tu pale kwa sababu za kitamaduni na kihistoria zaidi. Hivi unajua kua yule ni malkia wa canada, austalia, new zealand na nchi nyinginezo. Huko kote pamoja na uingereza viongozi wakuu wa serikali ni ma waziri wakuu. Kwahiyo kumtukana huyu raisi wako ni sawa na kumtukana waziri mkuu wa hizo nchi.Malkia wa Uingereza ni sawa na Raisi wa nchi hapa kwetu, kwa maana Malkia ni Mkuu wa nchi ya Uingereza!
Malkia sawa na rais?? Acha uongo wewe!! Malkia yupo tu pale kwa sababu za kitamaduni na kihistoria zaidi. Hivi unajua kua yule ni malkia wa canada, austalia, new zealand na nchi nyinginezo. Huko kote pamoja na uingereza viongozi wakuu wa serikali ni ma waziri wakuu. Kwahiyo kumtukana huyu raisi wako ni sawa na kumtukana waziri mkuu wa hizo nchi.
malkini ni tofauti maana hausiki kwenye shuguli za kimaendeleo wala hapangi mapato yatumikeje.waziri mkuu ndio anamamlaka hayo uingereza. na huwezi mlinganisha na waziri mkuu wetu maana wetu yuko chini ya rais na ananguvu tanganyika pekeeMalkia wa Uingereza ni sawa na Raisi wa nchi hapa kwetu, kwa maana Malkia ni Mkuu wa nchi ya Uingereza!
malkini ni tofauti maana hausiki kwenye shuguli za kimaendeleo wala hapangi mapato yatumikeje.waziri mkuu ndio anamamlaka hayo uingereza. na huwezi mlinganisha na waziri mkuu wetu maana wetu yuko chini ya rais na ananguvu tanganyika pekee
pesa haiwezi toka bot bila saini ya rais,anahusika kwa kuwa na hali nzuri au mbaya.malkini ni title tu hausikiNguvu na madaraka ya Ufalme wa Uingereza au nchi mbali mbali za Ulaya zilizo una Ufalme ni sawa tu nguvu ya Raisi wa JMTZ ndani ya JMTZ, sema tu Wazungu ni wajanja wanawaficha hilo, lkn tofauti pekee labda ni kwamba Raisi wa JMTZ ana ukomo na Ufalme hauna, kwani Ufalme unaweza kutangaza Vita dhidi ya nchi nyingine unaweza kuivunja Serikali na kuitisha uchaguzi mpya n.k.!
pesa haiwezi toka bot bila saini ya rais,anahusika kwa kuwa na hali nzuri au mbaya.malkini ni title tu hausiki
waziri mkuu ndio muhusika hasa kwa uk.malkia ni title tu na sio mkuu uk pekee mpaka australia na canada.kote huko wakuu ni waziri mkuu anayesaini sheria zinazotungwa na bunge na mikataba ya nchi husika.google utaelewa tofautiSiyo kweli kwamba Malkia wa Uingereza ni title tu, kwa ni Mkuu wa nchi ya Uingereza, sasa iweje Mkuu wa nchi useme ni title tu?
waziri mkuu ndio muhusika hasa kwa uk.malkia ni title tu na sio mkuu uk pekee mpaka australia na canada.kote huko wakuu ni waziri mkuu anayesaini sheria zinazotungwa na bunge na mikataba ya nchi husika.google utaelewa tofauti
Wakati uingereza na marekani wanashirikiana kuivamia iraq nani alitoa maamuzi?? Msimamo wa malkia ulikua upi?? Ukipata majibu utajua kua malkia yupo pale kwakua tu wameamua kutunza utamaduni wao ila hana maamuzi yoyote.Wewe ndo hauelewi labda, ngoja nikuulize kivingine, ni nani Amiri Jeshi Mkuu wa jeshi la nchi ya Uingereza? Au nani huamua kama Uingereza iingie vitani au la?
Malkia wa Uingereza ndio mwenye sauti ya mwisho. Hata kama bunge la Uingereza likipitisha muswada, yeye ndio mwenye sauti ya mwisho kukubali au kukataa. Lakini wenzetu wamekuwa kwenye mfumo wa kidemokrasia kwa muda mrefu, malkia anaamua kuwaachia wanasiasa wakubaliane lipi ni jema kwa nchi. Hata hivyo malkia lazima aweke saini kila kitu kikubwa nchi inataka kukifanya. Australia Canada na kwengineko ambapo yeye ni mkuu nchi, anakuwa na mwakilishi wake ambaye ana cheo cha Governor General ambaye yuko juu ya waziri mkuu.Wakati uingereza na marekani wanashirikiana kuivamia iraq nani alitoa maamuzi?? Msimamo wa malkia ulikua upi?? Ukipata majibu utajua kua malkia yupo pale kwakua tu wameamua kutunza utamaduni wao ila hana maamuzi yoyote.