Mkuu, Mjep katengeneza na specs zake kafikia hapo halafu nawewe tena m'bongo unataka ufanye yako! Siku mbili Tatu pajero lichomeke au Li overheat ama lipinduke ama lianze kulia na kukimbia mwendo wa boda utarudi tena kuomba ushauri hapa.
Kwa heshima na taadhima nakushauri kama inshu ni wese na gari hujaagiza badili, na kama gari unamiliki tayari basi tafuta mteja au kama vipi liache parking