Eneo linauzwa Tabata Bima

radhiya

Senior Member
Aug 19, 2015
105
205
Eneo lenye Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tabata Bima, Dar es salaam.
Mahali: Mtaa wa Mbiu.

Sifa za Nyumba:
*Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga.
*Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule na jiko.
*Ina nafasi kubwa nje.
*Ina fremu mbili nje hazijakamilika.

Ukubwa wa Eneo: Sqm 400.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.

Bei: Milioni 125. Mazungumzo yanaruhusiwa.

Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.

Mawasiliano:
0784 829565
0767 833345
@prathlimited
 

Attachments

  • 1736219090778.png
    1736219090778.png
    1.6 MB · Views: 2

Similar Discussions

Back
Top Bottom