Endeleeni Kupuyanga mkidhani Umri unawangoja

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
2,290
6,727
Sihitaji salamu yako,salamu yako peleka kwenu huko!.



Kwa Taarifa yako


1990 - Umri Miaka 35
1991 - Umri Miaka 34
1992 - Umri Miaka 33
1993 - Umri Miaka 32
1994 - Umri Miaka 31
1995 - Umri miaka 30
1996 - Umri Miaka 29
1997 - Umri Miaka 28
1998 - Umri Miaka 27
1999 - Umri Miaka 26
2000 - Umri miaka 25


Any way, Juzi nilienda kuwaambia chuo wanirudishie Ada yangu.
 
Mkuu, naomba nikufanyie marekebisho katika bandiko lako.
kiumbe mwenye umri miaka 35 atakuwa amezaliwa mwaka 1990, endapo itafikia mwaka 2025.

lakini kwa mwaka huu 2023 atakuwa na miaka 33. Aliyezaliwa mwaka 1990.

Kwa mfumo wa maisha ya afrika hususani Tanzania kwa karne ya Sasa, kupata mafanikio kunahitaji muda, busara, maamuzi, na maarifa endelevu si kukurupuka ama kukata tamaa.

kisaikolojia wanasema, kuwa hakuna binadamu anayepata msongo wa mawazo kwa kina Kama umri wa ujana hasa kuhitaji kupata mafanikio kwa haraka pindi bado ni kijana.

ENDELEENI KUPAMBANA KWA UHALALI KWANI MAFANIKIO SIKU ZOTE HAYANA UMRI. WAKATI WOWOTE UNAWEZA KUPATA MAFANIKIO KWA JUHUDI, NGUVU, MAARIFA, UCHA MOLA MLEZI.
 
Sihitaji salamu yako,salamu yako peleka kwenu huko!.



Kwa Taarifa yako


1990 - Umri Miaka 35
1991 - Umri Miaka 34
1992 - Umri Miaka 33
1993 - Umri Miaka 32
1994 - Umri Miaka 31
1995 - Umri miaka 30
1996 - Umri Miaka 29
1997 - Umri Miaka 28
1998 - Umri Miaka 27
1999 - Umri Miaka 26
2000 - Umri miaka 25


Any way, Juzi nilienda kuwaambia chuo wanirudishie Ada yangu.
Mbona kama ww ndio unapuyanga kwa umri ulionao inafikirisha kuleta andiko kama hili
 
Sihitaji salamu yako,salamu yako peleka kwenu huko!.



Kwa Taarifa yako


1990 - Umri Miaka 35
1991 - Umri Miaka 34
1992 - Umri Miaka 33
1993 - Umri Miaka 32
1994 - Umri Miaka 31
1995 - Umri miaka 30
1996 - Umri Miaka 29
1997 - Umri Miaka 28
1998 - Umri Miaka 27
1999 - Umri Miaka 26
2000 - Umri miaka 25


Any way, Juzi nilienda kuwaambia chuo wanirudishie Ada yangu.
In Africa miaka sio issue "we are not in hurry in Africa "
 
Sihitaji salamu yako,salamu yako peleka kwenu huko!.



Kwa Taarifa yako


1990 - Umri Miaka 35
1991 - Umri Miaka 34
1992 - Umri Miaka 33
1993 - Umri Miaka 32
1994 - Umri Miaka 31
1995 - Umri miaka 30
1996 - Umri Miaka 29
1997 - Umri Miaka 28
1998 - Umri Miaka 27
1999 - Umri Miaka 26
2000 - Umri miaka 25


Any way, Juzi nilienda kuwaambia chuo wanirudishie Ada yangu.
So What?
 
Back
Top Bottom