Endapo Ney Wa mitego angetakiwa kufungwa kuna ulazima watu hawa wangehitajika ili ashitakiwe!

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,564
22,129
Kila jambo linalofanyika huwa linasababu zake;
Wataaram na wabobezi Wa masuala ya sheria pamoja na masuala ya interinjesia watakubaliana na Mimi kwamba;

Kosa ambalo lingemtia hatia ney Wa mitego Kwa wimbo wake lingehitaji kuona watu wafuatao mahakamani!

A) mahakama pasipo na shaka ingehitaji maeelezo kutoka Kwa "BASHITE"

B) mahakama ingeombwa ufafanuzi Wa neno "Kichaa kapewa rungu" ni nani?

Pamoja na mengineyo, upande Wa utetezi ungelazimika kueleza ni namna gani mtuhumiwa katenda kosa hilo.

"Kwa hayo machache ambayo yanaonekana yangeibua kina bashite pamoja na kuongeza hasira Kwa wanachi Kwa kubinya Uhuru Wa kujieleza"
Yamkini washauri na wanasheria wamemtonya mkuu kwamba "ni vyema amtangazie msamaha ili kufunika kombe mwanaharamu apite"

"............WASIFIKILI WANA UHURU KIASI HICHO....."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…