Emmanuel Ntobi na Yeriko Nyerere Leo watamfanyia kampeni Mbowe kwenye Kipindi Cha Chief Odemba Star tv Wanaccm mnaagizwa Kufuatilia Mjadala wote!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
97,869
171,685
Ni Leo saa 3 Usiku kutakuwa na Mjadala wa uchaguzi wa chadema kwenye Kipindi cha Chief Odemba Star tv

Wanaccm Kote nchini ni muhimu Kufuatilia Mjadala huu kwa makini kwa Faida ya siku za baadae

Ahsanteni Sana 😃😃
 
Kwani wanaCCM watapiga kura.Ebu punguza ujinga.
 
Ni Leo saa 3 Usiku kutakuwa na Mjadala wa uchaguzi wa chadema kwenye Kipindi cha Chief Odemba Star tv

Wanaccm Kote nchini ni muhimu Kufuatilia Mjadala huu kwa makini kwa Faida ya siku za baadae

Ahsanteni Sana 😃😃
Ccm wafuatilie hizo kanjanja?
 
Ni Leo saa 3 Usiku kutakuwa na Mjadala wa uchaguzi wa chadema kwenye Kipindi cha Chief Odemba Star tv

Wanaccm Kote nchini ni muhimu Kufuatilia Mjadala huu kwa makini kwa Faida ya siku za baadae

Ahsanteni Sana 😃😃
Na wazee wameshasema ndiyoooo.

Igweeeee!

Umuofia kwenuuuu!
Screenshot_20250104-155934.jpg
 
Ni Leo saa 3 Usiku kutakuwa na Mjadala wa uchaguzi wa chadema kwenye Kipindi cha Chief Odemba Star tv

Wanaccm Kote nchini ni muhimu Kufuatilia Mjadala huu kwa makini kwa Faida ya siku za baadae

Ahsanteni Sana 😃😃
Wakina mbowe na matapeli wenzake ndani ya chadema walitaka kuget rid ya ile timu yote cream ya wakina Lema, Msigwa, na Heche wote wasipate uenyekiti wa Kanda. Hilo likafanikiwa. Mission ikawa tunamtoaje Lissu. Wakaona ingiza Wenje ambae muda wote ni "Yes Sir". Lissu nae akachapa "ambush" ya maana. Nakufuata hukohuko juu 😅😅😅
 
Uzuri Lisu hawezi kufa Kienyeji ilishashindikana 😂😂
 
Ni Leo saa 3 Usiku kutakuwa na Mjadala wa uchaguzi wa chadema kwenye Kipindi cha Chief Odemba Star tv

Wanaccm Kote nchini ni muhimu Kufuatilia Mjadala huu kwa makini kwa Faida ya siku za baadae

Ahsanteni Sana 😃😃
Afadhali watupe na sera za mbowe maana mi Bado sijasikia zaidi ya kusema kamanda naingia mzigoni😂😂
 
Yericko Nyerere ana ushawishi gani aisee zaidi ya kuendesha maisha yake Kwa msaada wa Mbowe....Yule ni kama kale kamdada kanajiita Mtoto wa Martha Mwaipaja
 
Back
Top Bottom