Emergency..! Waungwana ebu nisaidie hili nilimalize Kwa sasa. nakosa usingizi kabisa

vanquisher

Member
Sep 24, 2019
53
64
Emergency emergency.
Nahitaji laki moja na themanini 180,000tu. nilipe kodi ya Nyumba maana nimeshaangaika Sana kwa ndugu jamaa bila mafanikio. na mwenye nyumba yake haelewi nimeshapitisha muda.

Nitarejesha baada ya wiki tatu hadi nne.
Naweka bond simu yangu ya thamni ya 330,000tsh. Kama dhamana hadi nirudishe hiyo hela kwa huo muda.

Tecno Camon CM Key Specs
  • 5.7-inch, IPS LCD capacitive touchscreen, 1440 x 720 pixels (282 ppi), 18:9 aspect ratio
  • Android 7.0 (Nougat)
  • Quad-core MediaTek MT6737 CPU with 2GB
  • 16GB built-in storage, up to 128GB with memory card
  • 13MP rear camera with LED flash and 13MP front camera also with LED flash
  • 4G LTE Data
  • Fingerprint sensor (rear)
  • 3, 000mAh removable Li-Po battery
Tecno Camon CM
 
Attachments

  • 1569789334835.gif
    1569789334835.gif
    42 bytes · Views: 18
Emergency emergency.
Nahitaji laki moja na themanini 180,000tu. nilipe kodi ya Nyumba maana nimeshaangaika Sana kwa ndugu jamaa bila mafanikio. na mwenye nyumba yake haelewi nimeshapitisha muda.

Nitarejesha baada ya wiki tatu hadi nne.
Naweka bond simu yangu ya thamni ya 350,000tsh. Kama dhamana hadi nirudishe hiyo hela kwa huo muda.
Pole mkuu ndo ukubwa huo
hiyo simu bila shaka ndo ile uliyokua unauza jukwaa la matangazo

Ushauri wangu ungeipiga picha hiyo simu na kuipost mitandao mbalimbali ya kijamii huu ni mwisho wa mwezi itauzika tu
 
Sawa mkuu
 
Tecno Camon CM Key Specs
  • 5.7-inch, IPS LCD capacitive touchscreen, 1440 x 720 pixels (282 ppi), 18:9 aspect ratio
  • Android 7.0 (Nougat)
  • Quad-core MediaTek MT6737 CPU with 2GB
  • 16GB built-in storage, up to 128GB with memory card
  • 13MP rear camera with LED flash and 13MP front camera also with LED flash
  • 4G LTE Data
  • Fingerprint sensor (rear)
  • 3, 000mAh removable Li-Po battery
  • Tecno Camon CM
 
Watu wa dar huwa mnatapelika kirahisi sana...yani umekosa pa kuweka rehani hiyo simu ukaona jamiiforum ndio pakuweka!!! Pole sana....ushauri wangu; nenda maduka ya simu/nafaka weka rehani upewe kiasi unachohitaji, muandikishane kwa mwanasheria mkuu au mwenyekiti wa mtaa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom