Elon Musk amepata majibu murua kutoka kwa Julius Malema

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
51,011
40,037
Wanakumbi.

Vikwazo vya mara moja kwa Malema na kutangazwa kwake kama mhalifu wa kimataifa! Elon Musk.

Majibu ya Julius Sello Malema.

Nadhani umepoteza kabisa ubongo wako wa kushoto: shujaa wa kawaida aliyeharibiwa na mnufaika wa moja kwa moja wa weupe wa ubaguzi wa rangi. Najua watu weusi wanafanana na wewe, mbaguzi wa kawaida. Angalia kwa karibu, na utagundua hao ni watu wawili tofauti. Marekani inatudhihirishia ujinga wake. Sijali kuhusu vikwazo vyako; Sitaacha kamwe kupigania watu weusi wawe sawa na weupe, na hilo likinifanya kuwa mhalifu wa kimataifa, ninajivunia kuwa mmoja.

IMG_2602.jpeg
 
Unapigania""Watu Weusi Wawe Sawa Na Weupe""Wakati Unaelewa Kamwe Haiwezekani Tangu Na Tangu Kama Anajidhalilisha,,Aanze Kupigania Usawa Wa Watu Weusi Kwa Weusi Kwanza.
 
Unapigania""Watu Weusi Wawe Sawa Na Weupe""Wakati Unaelewa Kamwe Haiwezekani Tangu Na Tangu Kama Anajidhalilisha,,Aanze Kupigania Usawa Wa Watu Weusi Kwa Weusi Kwanza.
Unaonekana hujui kinachoendelea msome Malema.
The country is under attack, our organisation is under attack and our president CIC is under attack…. We have a revolutionary duty to defend our leadership and our organisation… we have no time to entertain petty politics.. we are not coming into that Conner …
 
Hayo yote kisa kunyimw mahela au?
Kuna jamaa alisema masikini ukimsaidia weee ipo siku ataona kama haki yake kusaidiwa ukimuacha tu utakoma majungu yake
Hujui chochote…

Watch him fight Elon Musk alone in international politics, without the assistance of his comrades from other South African political parties. When Paul Kagame was fighting with South Africa over the DRC conflict, he stood by this country's president.

Julius Sello Malema.
 
Unapigania""Watu Weusi Wawe Sawa Na Weupe""Wakati Unaelewa Kamwe Haiwezekani Tangu Na Tangu Kama Anajidhalilisha,,Aanze Kupigania Usawa Wa Watu Weusi Kwa Weusi Kwanza.
"Enyi watu! Hakika Mola wenu ni Mmoja, na baba yenu ni mmoja. Mwarabu hana ubora juu ya asiyekuwa Mwarabu, wala asiyekuwa Mwarabu hana ubora juu ya Mwarabu, wala mweupe hana ubora juu ya mweusi, wala mweusi hana ubora juu ya mweupe – isipokuwa kwa uchaji Mungu (taqwa).”

Hii inathibitisha kuwa katika Uislamu, heshima na hadhi ya mtu inatokana na uchamungu wake na matendo mema, si kwa nasaba, lugha, au utaifa. Qur'an inasisitiza ujumbe huu katika Surah Al-Hujurat (49:13) kwamba mwenye heshima zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule mwenye taqwa zaidi.
 
malema awe taratibu

distance ya mzungu na mweusi inasikitisha
Uyo mzungu alikuwa mbwiga miaka ya nyuma lkn awa jamaaa Wamewai Kudhibiti history ya Ulimwengu ivo wanajitaid kufuta maujinga yao ya zamani !! Kwenye history
 
Malema mwenyewe sijui anaumwa? Mwili umeporomoka kweli kweli na sura Haina nuru
 
Unapigania""Watu Weusi Wawe Sawa Na Weupe""Wakati Unaelewa Kamwe Haiwezekani Tangu Na Tangu Kama Anajidhalilisha,,Aanze Kupigania Usawa Wa Watu Weusi Kwa Weusi Kwanza.
Hapo sasa weusi kwa weusi ni tatizo kuliko hatari ya mtu mweupe kwa nweusi
 
Back
Top Bottom