Elimu ni nini?

Jehanamu Hii

Member
Dec 16, 2016
41
31
Swali la kizushi lakini itakuchukua zaidi ya dakika 10 kujibu. Si rahisi kama unavyofikiria. Soma maandishi ya kwenye picha kisha shusha mtazamo wako hapo chini ya picha hii:

 
Elimu ni kile unachosalia nacho katika ubongo wako baada ya kusahau kila kitu.
 
Elimu ni apps alizokuwa nazo mtu kichwani ili kumtatulia matatizo yake kwa usahihi na haraka
 
Elimu ni kitendo cha Kubadilishana maarifa na ujuzi Kutoka Kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine na maarifa hayo yanaweza kuwa chanya au hasi
 
Elimu ni nguvu ya akili/Yenye uwezo wa Kuliangusha JOKA KUU (LUMUMBA &CO).kwamfano Watanzania tungekuwa na Elimu tusingefika hapa tulipo.
Dah... Ungekuwa na elimu ungetambua kuwa wote Ccm, CDM & Co wote ni magenge ya wapenda kula vya bure kwa kutumia kazi za midomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…