Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,915
- 3,411
Rafiki yangu mpendwa,
Kwa miaka yoyote ambayo ulikaa shuleni, ulifundishwa mambo mengi sana. Lakini kuna elimu moja muhimu sana ambayo hukufundishwa na ndiyo inayokutesa mpaka leo.
Ulifundishwa historia za mambo ya kale, jografia ya maeneo mbalimbali, sayansi ya viumbe wote na hisabati za kukokotoa mengi. Yote hayo ulikazaniwa sana kuyajua hata kwa kukariri.
Leo hii kwenye maisha yako, huyatumii kabisa hayo mengi uliyojifunza. Kwa maisha unayoishi na shughuli unazofanya, mengi sana uliyokazaniwa kuyajua huyatumii kabisa.
Lakini kuna kitu kimoja ambacho unakitumia kila siku ya maisha yako na hukufundishwa kabisa shuleni. Kitu hicho ni fedha.
Hakuna siku itakayopita kwenye maisha yako bila kufikiria kuhusu fedha. Ndiyo zinakufanya uwahi kuamka na uchelewe kulala. Unatumia muda wako wote kufikiria na kuhofu kuhusu fedha.
Pamoja na umuhimu huo mkubwa wa fedha, hukufundishwa kabisa shuleni. Na hilo ndiyo limepelekea swala la fedha kuwa gumu sana kwako.
Kwa sababu eneo la fedha ni ujuzi kama ilivyo ujuzi mwingine. Ili uwe vizuri kifedha ni lazima ujijengee ujuzi wa aina tatu.
Ujuzi huo ni KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha. Usipokuwa na ujuzi huo wa aina tatu kwa uhakika, utasumbuka sana kifedha.
Rafiki, leo nina habari njema sana kwako kuhusu mahali sahihi unapoweza kupata elimu ya fedha uliyoikosa shuleni. Kuna fursa nzuri kwako kupata elimu na hatua za kuchukua ili kuwa vizuri kwenye eneo hilo la kifedha.
Mahali hapo ni SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 ambayo taarifa zake ziko hapo chini. Pitia kwa makini kisha chukua hatua mara moja.
View: https://youtu.be/llwvmiTDxCc
Karibu Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifuatavyo;
1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha
Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.
Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.
Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.
Kushiriki piga simu au tuma ujumbe wa kawaida au kwa wasap kwenda namba 0752977170 wenye maneno SEMINA 2024 na utapewa utaratibu mzima na nafasi ya kushiriki.
Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kufanya uwekezaji bora kabisa kwako, utakaoacha alama kubwa kifedha kwako.
Kutoka kwa rafiki yako anayekupenda na kukujali sana,
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Daktari |Mwandishi |Kocha |Mkufunzi