ELIMU HAINA MWISHO

Atapunguza 1% toka idadi ya wasiojua kusoma na kuandika.
Ila nina wasiwasi kama ataweza kugombana na masufuria akichukua makande, wali au ugali wa kwendana shule ili ale saa nne!
 
Apewe ukaka mkuu mzee.
Ila asije akawa kama mimi nilipopewa ukaka mkuu nikajimilikisha dada mkuu na nikaigeza ofisi ya mkuu kuwa guesthouse yangu kila asubuh kabla hajaja-siku moja mwalimu wa zamu akanifuma wewe tulijuta.
 
Maelekezo ya mganga kuwa kuepuka kifo na umri huo, kaanze darasa la kwanza utakuwa mtoto!
 
Apewe ukaka mkuu mzee.
Ila asije akawa kama mimi nilipopewa ukaka mkuu nikajimilikisha dada mkuu na nikaigeza ofisi ya mkuu kuwa guesthouse yangu kila asubuh kabla hajaja-siku moja mwalimu wa zamu akanifuma wewe tulijuta.
Sio ukaka mkuu tena ni ubabu mkuu huo utakuwa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…