Nimeusikiliza na nimeambulia haya nadhani ni kwenye beti ya kwanza, tafsiri si ya moja kwa moja ni jinsi mimi nilivyoelewa japo unaweza kupata tafsiri nyingine, lugha ya Lingala haina misamiati mingi maneno huya yanajirudia rudia sana lakini yanakuwa na maana tofauti kulingana na sentensi, japo tafsiri inaweza isiwe sahihi sana lakini nadhani utapata concept
Ya ngoyo HIKI NDIO CHENYEWE
ya ngoyo HIKI NDIO CHENYEWE
Ngonga ango ya ngoyo MUDA/wakati ULE HICHI NDIO CHENYEWE
ya ngoyo HICHI NDIO CHENYEWE
Ngonga ango ya ngoyo WAKATI ULE HICHI NDIO CHENYEWE
ya ngoyo HICHI NDIO CHENYEWE
tango ya ko loba oh ya ngoyo NI MUDA WA KILA MTU KUJIACHIA/kujirusha HICHI NDIO CHENYEWE
Eloko oyo eleki diamant ya ngoyo KITU HICHI KINATHAMANI KULIKO DIAMOND (almas)
E somba ba mituka oh Eloko oyo KITU HICHI KIMENUNUA GARI GARI
E somba ba lopango oh Eloko oyo KITU HICHI KIMENUNU NYUMBA
Poto pé oh pé na Eloko oyo NIMESAFIRI MPAKA ULAYA BADO NAKISHUKURU KITU HCHI
Eloko yango nini eh Miziki KITU CHENYEWE NINI eh MUZIKI
Eloko yango nini eh Miziki KITU CHENYEWE NINI eh MUZIKI
Na lela oh bisso oyo TUNAKIPENDA HICHI KWA HAPA
Ba kolo Mbonda oh bisso oyo NDIO TULIKIANZISHA NA SASA TUPO HAPA
Na lela ooh bisso oyo TUNAKIPENDA HICHI KWA HAPA
Ba kolo Mbonda oh bisso oyo NDIO TULIKIANZISHA NA SASA TUPO HAPA
Lego, Lego oh, lego, lego oh Lego, lego oh (LET'S GO LET'S GO.......)
Le 2 juillet bisso tembé na foire TAREHE 2 JULY TUNASHINDANA KUONYESHA UWEZO
Le 2 juillet bisso tembé na foire
Le 2 juillet bisso tembé na foire
Lego, lego oh, lego, lego oh Lego, lego oh, lego, lelo oh, lego Lelo oh, lego, lelo oh