Hiyo pasi ni Original??
Pasi ni OG kabisa
Tutakuletea Mzigo mpaka kwako usafiri hauna shidaUtanunua kwa bei rahisi huko Darajani au Kichangani Zanzibar tatizo litaanzia kwenye usafiri na kisha Ukifika bandarini pale kuna meza ya TRA kisha TPA nao wanakulipisha kodi.
Hapo ndipo utajua kuwa Zanzibar ni nchi ya nje na ni rahisi kupita na mzigo airport kuliko bandarini.
Kama ni hivyo sawa.Nitakusaidia kupata wateja mjasiriamaliTutakuletea Mzigo mpaka kwako usafiri hauna shida