fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,693
- 1,811
Does America has an electoral commission which supervises their election?
Does America has an electoral commission which supervises their election?
okIts called the Federal Electoral Commision.
Ifuatilie
Marekani hakuna tume ya kitaifa ya uchaguzi.Its called the Federal Electoral Commision.
Ifuatilie
ok sasa nani anajumuisha kura za majimbo?Marekani hakuna tume ya kitaifa ya uchaguzi.
Uchaguzi Kwa Marekani ni suala la Serikali za mitaa. Na ndiyo maana hata siku za kupiga kura mapema (Early Voting) hutofautiana kwa kuwa kila Jimbo hupanga kivyake.
Uchaguzi wa Marekani matokeo hutolewa kwenye ngazi ya majimbo kutafuta "electoral college votes " na majumuisho hufanyika huko huko kwenye majimbo.ok sasa nani anajumuisha kura za majimbo?
ok asanteUchaguzi wa Marekani matokeo hutolewa kwenye ngazi ya majimbo kutafuta "electoral college votes " na majumuisho hufanyika huko huko kwenye majimbo.
Hata malalamiko kuhusu mifumo ya uchaguzi na matokeo hufanyika kwenye majimbo.
Kuna kitu kinaitwa Federal election commission tume ambayo hasa huweka Sheria za kifedha na kuangalia mambo ya kiutaratibu kwenye uchaguzi.
Na Kuna Election Assistance Commission ambayo kazi yake ni kusaidia majimbo yasimamie uchaguzi Kwa ufanisi. Lakini uchaguzi wenyewe huendeshwa Kwa ngazi ya majimbo.
Hata mifumo ya uchaguzi, idadi ya vya kuchagua, aina za karatasi za kupigia kura havifanani kwa nchi nzima.