Education for all

Derickdeo21

Member
Oct 3, 2019
12
6
Hellow habari za mida hii wanajamvi natumai mungu anajalia uzima kwanza kwa majina naitwa Derrick Deo nimekuja mbele yenu na baadhi ya maswali ambayo nahitaji usadizi wenu kwa njia yeyote samahani nilikua nataka kujua kuna asasi gani au taasisi zinazotoa usadizi kwa wanafunzi mbao ni non degree ahsante in ilo tyu
 
Non degree? Badilisha tittle na ndani tumia maneno ya lugha yetu adhimu ikiwa msaada unaohitaji unataraji utoke kwa sisi wazawa, kinyume na hapo iandike kwa kiingereza sanifu kisha watu wa Ireland, Scotland, Great Britain , Wales waje kukupa msaada.
 
Hellow habari za mida hii wanajamvi natumai mungu anajalia uzima kwanza kwa majina naitwa Derrick Deo nimekuja mbele yenu na baadhi ya maswali ambayo nahitaji usadizi wenu kwa njia yeyote samahani nilikua nataka kujua kuna asasi gani au taasisi zinazotoa usadizi kwa wanafunzi mbao ni non degree ahsante in ilo tyu
Zipo ila kwa vyuo na course chache
Mfano
DIT na
ATC
 
Kwa mujibu wa bandiko lako kwa kuwa bado ulikuwa unamzungumzia subject basi ulipaswa kusema ''non degree holder'' na si non degree ndo maana nikasema kuongeza njonjo za lugha ya kigeni kwenye sentensi inaleta ladha ila ina ukakasi kama sarufi haikupaniliwa vizuri.
Tukiachana na hayo ukitaka msaada sema kabisa mlolongo wako wa kielimu, kwamba umepita hapa na pale na kwamba ulishindwa kufikia malengo kwa sababu hii na ile na kwamba ulihitaji msaada wa aina hii ama ile ili ushauri ulenge panapotakiwa.
 
Ahsante sana kwa ushauri kikubwa mimi ninachotaka ni kupata mtu au taasisi wa kuweza kunisadia katika masomo ya chuo kwa upande wa ada kuhusu mlolongo wa elimu yanga nilaanza 2005 mpaka 2011 shule ya msingi baada ya apo nikajiunga elimu ya sekondari kuanzia mwaka 2012_2015 baada ya apa nikajiunga elimu ya juu kuanzia 2016_ 2018 kwahiyo mpaka saivi nishakaa mtaani miaka miwili sina mtu wa kuweza kunishika mkono wa kuendelea na masomo ya chuo ni hayo kwa ufupi
 
Una point ngapi kidato cha sita? Ulisoma mchepuo gani? Kidato cha nne ufaulu kwa alama zipi? Una udahili wa chuo chochote kwa sasa?
 
Nina div three ya 15 na form four nikipata division three ya 23 nilisoma HGE nimetuma maombi chuo cha bandari na IFM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom