... sawa ila kuna swali moja huwa linanijia kichwani kwa issue hii ya Jameh; hivi ingekuwa ni Rais wa Nigeria, kwa mfano, amekataa matokeo, ECOWAS ingetuma jeshi kumng'oa? Au kwa kuwa Gambia ni kama "kibustani" tena ndani ya Senegal? Kama ni haki basi itendeke kwa wote.