Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,109
- 25,998
Sasa ni dhahiri, kuna International Economic Hit Men wako kazini.
Nyenzo yao kubwa ni rushwa ya kuifungamanisha nchi na wao , ili wazichote fedha bila kazi, bila jasho na kwa raha mustarehe.
Hili linaonekana hasa za kwetu nchi masikini, na inaelekea watazichota fedha nyingi sana kiulaini.
Tanzania sasa hivi ina kesi zaidi ya 11 katika korti mbali mbali duniani.
Na kwa mwenendo wa kesi kusimamiwa na watu ambao hawana ujuzi wala upeo wa kusimamia kesi , basi tutegemee kupigwa tu.
Economic Hit Men wako kazini.
Kimsingi ukichunguza sana, wanasiasa wamevuta na kuiahidi nchi kwa hao Hit Men.
Bandari hapo bado.