johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,730
Mkuu hvi kuna biashara yenye faida x3 kweli? kama ndio hivo nimeamini mchawi ni ndugu yakoUsiogope nunua, Nchini kwetu watu wanatakaga super profit. Kwa ufupi ni walaghai tu
Nimeshachek mkuu hakuna damage history mahala popote maana wana category za new na used.Watakua na sale hao wenye simu lakini jaribu kucheki item description kama hakuna damage or the like
mkuu shipping cost ni dollar 5 hadi kumi kwa maelezo yao.Shiping cost imewekwa hapo? Je wana-ship TZ? Je ni mpya au refurbished? Kuwa makini na hizi iphone, kuna iphone nilinunua ebay kwa bei nafuu lakini mwisho wa siku ikawa haifanyi request ukipiga USSD codes baadala yake inapiga kama namba ya kawaida. That means huwezi ku-request salio au kutumia mpessa etc. Kuwa makini na wauzaji wa iphone kutoka china. Kama unataka iphone nunua kwa wauzaji wa US.
Hhahaahha kweli mkuu hata hvo wengine hawana elimu ya kununua online,Wabongo wengi ni washamba wananunua vitu vilivyo bei ghali ili wajiridhishe kuwa siyo fake
Hakuna biashara yenye faida, Faida hutengenezwa kutokana na mteja basi. Mengine yote ni mbwembwe, ujanja ujanja wa waTanzania ndio umetawalaMkuu hvi kuna biashara yenye faida x3 kweli? kama ndio hivo nimeamini mchawi ni ndugu yako
Ila inakua made in china!?Nimekutana na hii kitu m
mtandao maarufu duniani wa kuuza bidhaa lakini nimekuwa shocked kidogo na bei zao kiasi kwamba najaribu kujiuliza hizi ni fake ama wana promotion hasa hasa nikicompare na bei za madukani kwetu.
Naombeni msaada kabla cjaingia kichwa kichwa
Nb, nina uzoefu wa kuagiza magari nje lakini si bidhaa hzi ndogo ndogo.
Hhahaha asante mkuu hao nawajua sanaMkuu kuwa makini na ebay ya kinaigeria