chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Wamevunja maadili gani?Mamalaka ya mawasiliano imekitoka kituo cha EATV faini ya Tshs. 3,000,000 na EFM faini ya Tshs. 4,000,000 kwa kukiuka maadili ya utangazaji
Mhh!weka picha
Ongezea sambusa yako tunyama tudogo ili kawe na ladha..
Maana umeleta habari kama uko kwenye marathon
weka picha
nimeshaongezea maelezoMtoa taarifa nawe umekiuka maadili ya utoaji taarifa hapa Jf habari yako haina maelezo ya kina kwa mfano, hivyo vituo vya utangazaji vimekiuka maadili gani na lini?
Nadhani alimaanisha picha ya panya...sio logo za eatv,tcra na e fm.