Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,563
- 5,878
Hii redio ni redio ambayo mimi huwa naipenda sana,kuna muda nilikuwa naiskiza hii redio siku nzima.
Ila sasa wana sera yao ambayo huwa siielewi wana maana gani,sijui tuseme ndo wamekubali kuaga mashindano kwenye ulimwengu wa redio??
Wakati ambao wenzao kina wasafi,clouds,na Efm wana recruit,watangazaji wakali na kuwahost vizuri ila hii redio,ina vioja vifuatavyo.
Kwanza, huwa wana recruit, watangazaji mahiri kutoka mikoani, then wakishafanya vizuri na kutengeneza majina hawa jamaa huwa wanawaacha waende zao, sio kitu kibaya kuwapa vijana mwangaza,ila kwanini wawaache hasa kwenye soko kubwa hili la ushindani?
Imagine,mtu kama jr junior alitisha sana pale planet bongo,mara ghafla nikaacha kumskia bila hata sababu ya maana,ghafla ndo huyo kaibukia zake times fm,anafanya kipindi cha hio hop kinaanza saa sita nadhani.
Hapo hapo alikuwepo frida amani,pale planet bongo na the cruise,sasa ndo huyo yupo zake mawinguni anaenjoy na millard ayo pale amplifayani.
Unamkumbuka fredoo mbunji mayaga shishi,jamaa alikuwa hot sana iringa,alipokuwa anafanya kazi ebony fm,kiukweli nilifurahi sana kumskia jamaa yupo EA RADIO,heeeh!miezi kadhaa simskii tena sjui yupo kwenye online media gani sasa hivi.
Nani asiyejua uwezo wa king smash,jamaa alitokea zake tabora fm,akaja ea radio akawaka sana kwenye the cruise pale bila kusahau e news pale channel 5,huyo naye sjui yu wapi jama??
Kuna kipindi lesa sidi,aliondoka zake pale akaenda zake online radio flan flan hv,alikuwa anatangaza na bwana izzo biznes,ila naona huyu waliamua kumrejesha sjui kwanini,ila naamini kwa kuwa anajua sana.
Haya nitaftieni sam misago huko mkimuona mniite mbwa.
Kwani wameisha basi,upande wa michezo kuna jamaa wa kuitwa david kampista,huyo jamaa alikuwa anafanya kipindi cha kipenga xtra hehh sahvi yuko zake mawinguni huko ana run sport extra na kina kishamba na kina kibwana bila kusahau lwambano na kina mkazuzu.
Kun mchambuz anajua sana yupo wasafi fm,anaitwa nani sjui,anafanan sauti na ambangile,hv mnajua yule alikuwaga ea radio yule,yaani jamaa wanaweza sana kuvumbua vipaji ila hawawezi tu kuviendeleza.
Sasa pale,kuna watu nawapa siku chache watasepa tu very soon...kuna bwana anaitwa ibra kasuga(alikuwa ebony fm iringa).
Kuna mtu anaitwa Dickson Msami,naye najua very soon atasepa tu,tena yule ndo material ya clouds fm kabisa.
Kwa kuhitimisha,na hivi Dullah kaamua kuondoka sjui nani atakuwa anaskiza,na atakuwa anaskiza nini kwenye hiyo redio.