E-FM punguzeni utoto hata mkikosa cha kuongea

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,585
Ni kipindi cha sport extra. Kiukweli punguzeni utoto mtafanya watu wawachoke kabisaa kabisaa.

Mnatumia Dk kumi nzima kuongea vituko, ati wanataja majina ya watu wengine wanaitikiaa ndioooo

Jamaal malinzii ndioooo

Hasaaan messy ndiooooo

Matolaa wa Jf ndiooooo

Wapi miss masaai ndioooo

Invisible wa tandikaaaa ndioooo

Wapi mwanakijiji wa bonyokwaa ndiooo..yaani toka makongo MPAKA unafika mliman city n hivi vituko nop badilikeni mkiona kipindi Amnaa chakusema punguzeni mda
 
Hizo ni chuki ni bora kuuliza wanamaana gani wanaposema NDIOOOO AU UJAMBO AU MZEE WA KARIHUA N.K. katika kipindi chote toka kimeanza umeona tu Ndiooo ha!ha! Kweli wewe si msikilizaji mzuri wa kipindi hicho cha Sport HQ ila wasikilizaji wake wale wa "kulialia" wameelewa maana yao Ndiooooooo
 
Bwigaaaa wa bwegukeee ndiyoooooooooooo
acha wivuuuu ndiyoooooo
 
Ni sport headquarters
 
EFM popularity has only been triggered by the desire among listeners for something different after the decade-long domination of Clouds FM. Now the weakness on the part of EFM is that they have failed to capitalize on that expectation by coming up with even more new, untested ideas. And the more they fail to
grasp this truth, the more the listeners become
aware of the fact that Clouds FM is likely to remain an unchallenged FM radio station for many years to come.
 
Yaani kwa namna efm wanavyonimalizia mb zangu kila siku kwa vipindi vyao murua hunishawishi kwa upuuzi wako mleta mada,kwanini umeamua kufungua hiyo station?
 
Naona Efm wameamua kujiibia pesa zao wenyewe kutoka mfuko wa kulia na kuweka mfuko wa nyuma thread yao Wenyewe wanajifanya kukosea ata kipindi chao wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…