sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,946
Dunia ya Sasa ni ngumu sana
Enyi.ndugu wa MAREHEMU Afande Olomi niwekeeni barua ya Afande Olomi kuacha kazi jeshi la polisi,
Nijulisheni baada ya kuacha kazi aliendelea kusoma degree ya SHERIA chuo kikuu.cha tumaini da resalaam?
Nijuavyo na ilivyokuwa mipango
Jamaaa alikuwa bado.afande na alikuwa kipenyo mtamu sana
Pili alikuwa anasoma Kuna mchongo wa juu sana uliishapangwa dhidi yake Tena wa maana
TATU Afande nje ya hapo Kuna WALIO mnyetisha mchongo Fulani na ndo WALIO mmaliza.
Mh DC ubungo unakumbuka last talk yako na mshikaji?.
Nina mengi kifuani
Nchi ya ajabu hii sasahivi upolisi ukiuacha na kama ulikuwa wale wasio vaa gwanda unakuwa hatarini.kutoweshwa
Mwamba pumzika ila ramani ilichorwa KABLA ujaanza safari.