Vamigo
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 367
- 773
Ndugu zangu naandika hapa nikiwa siko sawa mtanisamehe.
Mm ni mfanya biashara (wakala) WA huduma za kifedha mpaka kufikia mwaka Jana mwezi WA 3 nilikua na mtaji usipungua milion 5. Ndani ya mwezi mmoja pesa ikaanza kupukutika, nyumba ambayo ni ni flem tulipo weka biashara zetu iliuzwa Kwa mtu mwingine akapandisha Kodi mpka milion 1 Kwa mwaka.
katika mwezi huo huo WA 3 nikalipia milion Moja ya kodi nikalipia milion 1 laki Moja na elfu 5 kakupata mashine ya NMB ndani ya mwezi huo huo Kuna bro angu alikua anatumia till yangu ya mpesa nyingine a kaikopea na deni likahamishwa kwenye till yangu niliyo kua nafanyia mm kazi nikafyekwa milion 1.5 ila baadae bro tulikubaliana anilipe taratibu.
Ndani ya mwezi huo vibaka wakabomoa ofisi yangu ila hawakukuta chochote na Wala hawakuondoka na chochote Cha kunitia hasara tofauti na kurepea paliko bomolewa(nitafafanua kwenye comment maswala ya ulinzi kama mtaniliza na alivyo wajibishwa)
Sasa kwenye ulimwengu wa kawaida hayo matumizi yalikua sawa kabisa Kwa maendeleo ya ofisi yangu kumbe zile hela zilivo kua zinatoka mpka Leo haijawahi kurudi nimekua kwenye maporomoko huo mpka kufika sasa Sina mtaji tena na ofisi inaelekea kufa na kuifunga.
Niliomba Msaada Kwa Mzee wangu akanitumia sh 300k nibust mtaji Cha kushanga Sasa ambacho ndo misingi WA post hii ni hiki👉👉
Mimi ni baba wa moto mmoja WA kike mke wangu alinambia pasaka hii naomba niende Kijijini tukalie huko na wazee nikasema poa tu. nikampa nauli akatembea, nina jirani yangu ambae pia mke wangu aliondoka jumamos kwenenda kula pasako pia vijijini kwao.
Tulikua tumekaa (washikaji) ambao ni majirani Kwa sehemu tunazo ishi ni sehemu ambayo Kuna lorge na ukumbi WA wadau kunywa hua napenda kuangalizia pale mpira, kama mjuavyo ilikua sikukuu wadau wakaagiza konyagi kuvutia mda WA game ya rs bekane, nikawaza nikinywa hapa af nikaenda kuchukua pesa ofisini itakua ni risk sana maana naweza lewa na pesa ikapotea.
Nikasema acha niende ofisini nikaifiche hiyo pesa (laki na nusu) ili niwe salama nikafanya Ivo.
Kesho yake jumapili nikaja kuangalia usalama na pesa nikaikuta ipo nilipo ificha. jumapili hua napumzika mda huo nilikua na ratiba ya kwenda mahala na rafik angu (jirani ) nikasema acha niache humu humu nisje fanya matumizi yasiyo ya misingi maana pengine tunaweza kutana na wadau wakaleta agenda ya pombe (pombe natumia ila mala Moja Moja sana Kwa matumkioio) kwaio ile pesa nikaicha tena.
Jana pale nyumban kulikua na ka sherehe flani ka kusherehekea sikuu hua tunafanya sana sana Kwa ajili ya familia zetu tunakula, kunywa na mziki unakuwepo Kwa wadau WA pale pale home hivyo nikachelewa sana kulala Jana.
Leo nimeamkia misibani( jirani ninapo ishi ) Kuna dogo kakafariki nikaamkia pale mpaka mchana, mchana
Wife anakuja anakuta sijaenda kazini nikaona kama ka react tofauti kama kashikwa na hasira flani iva akaanza kunilaumu sijaenda kazini na maisha tuliyo nayo magumu, mm nikaona acha niodoke zangu nikaondoka nikachuka ufunguo mpka ofisini.
Nimefungua nikaenda ile sehemu niloficha ile pesa nakuta pesa haipo.!! kama masihara nikaanza kuwaza niliiweka wapi na Jana nimekuja nimeiacha hapa nimetafuta bila mafanikio mpka hautua ya mwisho nimekubali kwamba nimeibiwa tayari, nimekuta kufuli zipo sawa kabisa hazijabomolewa, hapa ofisini Kuna tundu juu wezi waliwahi kutoboa nikaangalia naona hakuna dalili ya mtu aliye pita kwenye Hilo tundu naona mpka zile baibui Kwa ndani zilivo tanda
Mpaka mda huu nimekaa ndani ya ofisi nimejifungia sjui nafanya Nini sjui mwizi kaingilia wap pesa haipo na kufuli hazijavunjwa Wife hataki hata maelezo yangu yaani
Huu mkoa niliopo ndo nyumban tunatofautiana kata tu tuanzo ishi mfano kama ni dar home Tabata mie nipo tegeta nyuki huko kiukweli naona kukata tamaa naonaaibu sana mwezi ujao natakiwa kulipa Kodi ya pango milion 1 ili niendelee Sina, na pia natakiwa kulipia Kodi ninapo ishi.
Naona Sina thamani nawaza nikimbie tu niache familia sio Kwa kupenda ila Sina namna Naumia sana kumuacha mwanangu ila acha nikajipange huko ila nawaza nitaishije huko wakati Sina pesa na pesa imeibwa tayari kiasi kidogo kilicho Baki pengine kitafaa kumuachia wife apambane nacho ila nitakua baba na aina gani kukimbia familia.? Je nifanyeje nivuke hapa wadau niambieni chochote ndugu zangu nifanyeje mwenzenu.