johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 86,950
- 148,547
CCM inaua nchiSema wana CCM ndiyo wenye porojo, unaogopa nini kuwasema live?
RIP John Pombe MagufuliDunia ya Leo ni Maneno machache yanasindikiza Vitendo vingi lakini Hapa Tanzania mambo ni tofauti kabisa
Kuna Wanasiasa wao ni Maneno tu hawajawahi kutenda lolote hata kwenye level ya Chama tu mfano Zitto Kabwe, Prof Lipumba hata Mbowe
Ukija serikalini Ndio hatari na Nusu kila siku tunatangaziwa miradi mipya Wakati ile ya zamani imedoda mfano SGR
Angalia Swala la Katiba mpya yaani ilishaandikwa na Mtemi Chenge lakini mchakato unaanza tena Upya
Imani ni Matendo!
Mkuu uko nyuma sana na wakati.Dunia ya Leo ni Maneno machache yanasindikiza Vitendo vingi lakini Hapa Tanzania mambo ni tofauti kabisa
Kuna Wanasiasa wao ni Maneno tu hawajawahi kutenda lolote hata kwenye level ya Chama tu mfano Zitto Kabwe, Prof Lipumba hata Mbowe
Ukija serikalini Ndio hatari na Nusu kila siku tunatangaziwa miradi mipya Wakati ile ya zamani imedoda mfano SGR
Angalia Swala la Katiba mpya yaani ilishaandikwa na Mtemi Chenge lakini mchakato unaanza tena Upya
Imani ni Matendo!
Kweli mkuu, mtu anayesubiri maendeleo kwa mjomba utamjua tu.Nikajua siasa za Nyerere ni ujamaa na kujitegemea?
What's bad in that?
Mkuu uko nyuma sana na wakati.
Sasa hivi tunaendelea na 4R's, halafu kama hukuwemo ndege ya kwenda India , imekula kwako.
Nikajua siasa za Nyerere ni ujamaa na kujitegemea?
What's bad in that?
ndani ya JF,Dunia ya Leo ni Maneno machache yanasindikiza Vitendo vingi lakini Hapa Tanzania mambo ni tofauti kabisa
Kuna Wanasiasa wao ni Maneno tu hawajawahi kutenda lolote hata kwenye level ya Chama tu mfano Zitto Kabwe, Prof Lipumba hata Mbowe
Ukija serikalini Ndio hatari na Nusu kila siku tunatangaziwa miradi mipya Wakati ile ya zamani imedoda mfano SGR
Angalia Swala la Katiba mpya yaani ilishaandikwa na Mtemi Chenge lakini mchakato unaanza tena Upya
Imani ni Matendo!
'Nyerere ni mwenye heri' hivyo hata afuatae siasa zake amebarikiwa! si unaona CCM inavyo barikiwa?Dunia ya Leo ni Maneno machache yanasindikiza Vitendo vingi lakini Hapa Tanzania mambo ni tofauti kabisa
Kuna Wanasiasa wao ni Maneno tu hawajawahi kutenda lolote hata kwenye level ya Chama tu mfano Zitto Kabwe, Prof Lipumba hata Mbowe
Ukija serikalini Ndio hatari na Nusu kila siku tunatangaziwa miradi mipya Wakati ile ya zamani imedoda mfano SGR
Angalia Swala la Katiba mpya yaani ilishaandikwa na Mtemi Chenge lakini mchakato unaanza tena Upya
Imani ni Matendo!
Alaa!!Dunia ya Leo ni Maneno machache yanasindikiza Vitendo vingi lakini Hapa Tanzania mambo ni tofauti kabisa
Kuna Wanasiasa wao ni Maneno tu hawajawahi kutenda lolote hata kwenye level ya Chama tu mfano Zitto Kabwe, Prof Lipumba hata Mbowe
Ukija serikalini Ndio hatari na Nusu kila siku tunatangaziwa miradi mipya Wakati ile ya zamani imedoda mfano SGR
Angalia Swala la Katiba mpya yaani ilishaandikwa na Mtemi Chenge lakini mchakato unaanza tena Upya
Imani ni Matendo!
Rais Samia anajaribu kuwafundisha hawaelewi.Dunia ya Leo ni Maneno machache yanasindikiza Vitendo vingi lakini Hapa Tanzania mambo ni tofauti kabisa
Kuna Wanasiasa wao ni Maneno tu hawajawahi kutenda lolote hata kwenye level ya Chama tu mfano Zitto Kabwe, Prof Lipumba hata Mbowe
Ukija serikalini Ndio hatari na Nusu kila siku tunatangaziwa miradi mipya Wakati ile ya zamani imedoda mfano SGR
Angalia Swala la Katiba mpya yaani ilishaandikwa na Mtemi Chenge lakini mchakato unaanza tena Upya
Imani ni Matendo!
Naunga mkono hoja, Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu? na wana JF pia tuliwashauri, 2017 JF Tubadilike, Tupunguze Kuwa "Barking Dogs, Seldom Bite", Tusiishie Kubweka Tu, Tung'ate!Dunia ya Leo ni Maneno machache yanasindikiza Vitendo vingi lakini Hapa Tanzania mambo ni tofauti kabisa
Angalia Swala la Katiba mpya yaani ilishaandikwa na Mtemi Chenge lakini mchakato unaanza tena Upya
Imani ni Matendo!
'Nyerere ni mwenye heri' hivyo hata afuatae siasa zake amebarikiwa! si unaona CCM inavyo barikiwa?
Anhaa akina Ankali PaskaliKiongozi wa kesho lazima atakuwa memba mhenga wa JF.. ndie ataweza mengi ya nchi na kuleta Sukari nyingiii sana kulambwa.