Shosti aliolewa baada ya ndoa na honeymoon Ameomba ruhusa kwa boss kazini, mume alikuwa na likizo wiki moja abele. Mambo ya penzi changa shost amemwbia boss kichwa kinauma aende kupasha kiporo.
Amefika nyumbani, sebuleni hakuna mtu, lakini mlango wa nyuma umerudishwa tu, alinyata mpaka chumbani khe asimkute mume ameshikishwa ukuta na njemba.
Kumbe all the way mume shoga smart na alimwambia jamaa siku flani wife atakuwa kazini. Mwanaume ana mpunga mrefu na anpigia magoti shost amfichie siri kwa gharama yeyote ile
Ungempa ushauri gani?