SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,309
- 6,717
Huku kuna familia fulani mahali. Hili ni sakata la kweli sema ITV haijajua ingetangazwa.
Huyu baba tumuite Martin , na huyu mama tumuite Jeska.
Martin alikuwa mfanya biashara wa kati. Alikuwa anasafiri sana. Mpaka anasahau kumpa jeska unyumba.
Martin alikaa nje ya ndoa takribani miaka kumi nahana sababu za msingi.
Mke alivumilia akaona ngoja atafute mchepuko wake.
Inshort Martin alikuja mida ya ijioni akamkuta mkewe chumbani akiwa amelewa chakari na mchepuko wAke, ndio akamuuliza umeichoka ndoa akamwambia utajua mwenyewe . Kweli ndani ya nyumba yangu unamleta mwanaume mwingine.
Mke akajibu uanaume wako ulishachuja kipindi hujaanza kuwa na michepuko. Kumbe yula baba alizaa na rafiki wa mke wake. Mzozo hadi kufa ulianza hapa..
Kule chumbani walizichapa mchepuko na mume wa jeska.
Mume akatoka gafla ndani ya chumba akaenda kulala kwa watoto wake asubuhi kuamka watoto wanasema mama baba haamkii.
MAma alipomshika mikono kawa baridi. So hatujui kilichomuwa Hatujui hadi sasa . Uchunguzi unafanyika kilichotokea nini hadi umauti..