Dunia Duara: Waliokuwa wanajiona wa maana matawi ya juu, Leo hii wanatamani maisha yetu, Weka kisa chako hapa

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,407
19,233
Tuache kujiona wa thamani kuliko wengine! Tusiwashushe wengine Kwa kauli ama matendo TukumbukeDunia ni duara, unayemuona leo chini kesho atainuliwa.

Nakumbuka shuleni kipindi nipo Form 6 kuna mwenzetu alikuwa anakuja na Corolla anaipaki, tufanye kumuita P. Huyu P alikuwa na maisha yake ya kipekee, Canteen alikuwa anapiga msosi wa maana sana, ila tatizo P alikuwa anajiona yupo level zake na vidharau.

Chuo alienda kusoma ila ni kozi za mazingira, ajira ikawa changamoto anakomaa kitaa, Baadhi ya watu kwa sasa wana kazi zao Tra, bandarini, Tanapa na wengine ni wafanya biashara wakubwa tu huwa wanaendelea kumwita huyu jamaa kwa maksudi "P mwenye corolla yake" japo kwa sasa anatembea kwa miguu ama daladala, kuna siku huyu jamaa alikiri wazi kama angerudisha nyuma jambo hili linamuumiza sana.
 
Tuache kujiona wa thamani kuliko wengine!
Tusiwashushe wengine Kwa kauli ama matendo
TukumbukeDunia ni duara, unayemuona leo chini kesho atainuliwa.

Nakumbuka shuleni kipindi nipo Form 6 kuna mwenzetu alikuwa anakuja na Corolla anaipaki, tufanye kumuita P. Huyu P alikuwa na maisha yake ya kipekee, Canteen alikuwa anapiga msosi wa maana sana, ila tatizo P alikuwa anajiona yupo level zake na vidharau. Chuo alienda kusoma ila ni kozi za mazingira, ajira ikawa changamoto anakomaa kitaa, Baadhi ya watu kwa sasa wana kazi zao Tra, bandarini, Tanapa na wengine ni wafanya biashara wakubwa tu huwa wanaendelea kumwita huyu jamaa kwa maksudi "P mwenye corolla yake" japo kwa sasa anatembea kwa miguu ama daladala, kuna siku huyu jamaa alikiri wazi kama angerudisha nyuma jambo hili linamuumiza sana.
atuLie dawa imuingie vizuri
 
Back
Top Bottom