Dukani kariakoo live:simu,TV,majiko,vifaa vya simu na computer.bei jumla

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
26,797
49,429
Naomba mods msifute hii thread yangu
Wana jukwaa kila siku nitakuwa na post simu hapa na vifaa vyake pia laptop flat TV na majiko ya gesi ukiitaji chochote nitakuletea .bei ni za jumla na bidhaa zetu ubora umezingatiwa
Nauza jumla na rejareja
Karibuni sana.
Kwa wale wafanyabiashara nawapa bei ya chimbo kabisa.hakuna cha winga hapa.bei hizi huzipati popote.fursa kwenu kwa wale mnaolalamika kariakoo mnapigwa
 
Attachments

  • IMG_20241009_154517.jpg
    IMG_20241009_154517.jpg
    144.1 KB · Views: 10
  • IMG_20241009_154814.jpg
    IMG_20241009_154814.jpg
    157 KB · Views: 9
  • IMG_20241009_154814.jpg
    IMG_20241009_154814.jpg
    157 KB · Views: 8
Naomba mods msifute hii thread yangu
Wana jukwaa kila siku nitakuwa na post simu hapa na vifaa vyake pia laptop flat TV na majiko ya gesi ukiitaji chochote nitakuletea .bei ni za jumla na bidhaa zetu ubora umezingatiwa
Nauza jumla na rejareja
Karibuni sana.
Kwa wale wafanyabiashara nawapa bei ya chimbo kabisa.hakuna cha winga hapa.bei hizi huzipati popote.fursa kwenu kwa wale mnaolalamika kariakoo mnapigwa
Tunashukuru.
 
Infinizlx hot 40i unauzaje. Kun mtu anataka kama 80 hiv za tenda
Kwanza nashukuru sana mkuu kwa kunifikiria
INFINIX HOT 40i

TOLEO LA KWANZA ORIGINAL

🔥GB 128 RAM 6 (270,000)

🔥GB 256 RAM 8 (315,000/=)

✅CAMERA 50 MP
✅BATTERY 5000MAH
✅WARRANTY NI MWAKA MMOJA
✅UNAPEWA ZAWADI YA GRASS PROTECTOR 21D ORIGINAL FREE
Hyo bei nimevunja kabisa kwa heshima yako unipe kazi.
Mambo mengine nakuja inbox maana
 
Attachments

  • IMG-20241008-WA0011.jpg
    IMG-20241008-WA0011.jpg
    47.4 KB · Views: 12
Naomba mods msifute hii thread yangu
Wana jukwaa kila siku nitakuwa na post simu hapa na vifaa vyake pia laptop flat TV na majiko ya gesi ukiitaji chochote nitakuletea .bei ni za jumla na bidhaa zetu ubora umezingatiwa
Nauza jumla na rejareja
Karibuni sana.
Kwa wale wafanyabiashara nawapa bei ya chimbo kabisa.hakuna cha winga hapa.bei hizi huzipati popote.fursa kwenu kwa wale mnaolalamika kariakoo mnapigwa
Miss Natafuta umerudi kuwa winga baada ya baby father kuchinba?
 
Air frier original naweza nikapata na warranty ya muda Gani. Nahitaji Nile nyama ,samaki,chipsi choma bila ya mafuta ,Nina uhitaji nayo mno
 
Boss Samsung a05, nipe bei
SAMSUNG BRAND NEW

✅A05 (4+64) Tsh 300,000//=
✅A05 (4+128) Tsh 340,000//=
✅A05s (4+64) Tsh 335,000//=
✅A05s (4+128) Tsh 365,000//=
✅A15 (4+128) Tsh 420,000//=
✅A15 (6+128) Tsh 460,000//=
✅A25 5G (8+128) Tsh 650,000//=
✅A25 5G (8+256) Tsh 700,000//=
✅A34 5G (6+128) TSH 700,000//=
✅A35 5G (8+128)Tsh 900,000//=
✅A35 5G (8+256) Tsh 970,000//=
✅A54 5G (8+128) Tsh 880,000//=
✅A54 5G (8+256) Tsh 970,000//=
✅A55 5G (8+128) Tsh 1,000,000//=
✅A55 5G (8+256) Tsh 1,080,000//=
Full box mkuu
 
Back
Top Bottom