"DUDE" neno lililojizolea umaarufu kwa sasa

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
542
735
Aisee katika mlolongo wa maneno lukuki yanayojitokeza kutokana na matukio ya kitaifa hivi sasa hili neno "DUDE" limeibuka na kushika hatamu katika vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii.

Naombeni kwa anayejua atupe maana halisi ya neno DUDE atuambie maana yake na pia atoe angalau mfano mmoja kwa kutumia neno DUDE kutokana na hali ya sasa nchini na matukio yanayojiri.
-----------------------------------------------

===================

Kalenga kidamali
 
Gwajima ndiye mtumiaji mkubwa sana wa neno Dude...

Mhmhmnhmhmh, dude limeamshwa. Tunawasha moto bila kuwa na Zima moto.... Mgmgmgmh (in Gwaji's voice)
 
Mwenye neno lake yupo tu asje akakushushia Dude tu jumapil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…