Du ndoa ya kungwi imevunjika

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
347
465
Wanajukwaaa mko pouwaa.

Looooo! Katika hali ya kushangaza ndoa ya kungwi mmoja marufu hapa kitaani na mwenye jina kubwa kwenye media ndoa yake imevunjika.

Suala hili limezua gumzo na tafran kwani kwa jinsi ambavyo amekuwa akitoa mafundisho yake kuhusiana na ndoa kwa mtindo kama wa kuwananga na kuwaona wanandoa hususan wanawake kuwa wao wenyewe ndyo chanzo cha ndoa zap kuvunjika usingeweza kuamini kwamba dis could hpn.Yaani kwa mafundisho Yale usingeamini kwamba huko kwa ground mambo yalikuwa ndivyo sivyo.

Yaani hii ni sawa na mwalimu kushindwa mtihani.
==================
Worry not takuletea sababu za kuvunjuka kwa ndoa hii kidiri takavyopata penyenye🥱
AMA KWELI MGANGA HAJIGANGI NA PIA KINYOZI HAJINYOI😂
 
Kungwi hajifundi
 
UNGEJUA KUWA MGANGA HAJIGANGI USINGELETA POST HII.
 
Back
Top Bottom