kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,808
- 20,223
Hermes 900 kwa mujibu wa Israel ni drond ghali na ya kisasa haswa na yenye teknolojia ya hali ya juu
Lakini kwa sasa Zinaangushwa kama maembe kwa manati na hezbollah hii ni drone ya 5 ya aina ya Hermes kuangushwa na vijana shupavu ya Hezbollah
Mabilioni kwa matrilioni Israel inapata kama hasara huku raia wao wakiishi maisha magumu!!
HEZBOLLAH SHOOTS DOWN $10 MILLION ISRAELI DRONE
The group claimed responsibility for shooting down an Israeli Hermes 900 drone over southern Lebanon.
It marks the 5th Israeli drone downed since October 8.
Videos show the burning drone after it was intercepted by a surface-to-air missile near Deir Kifa.
Source: Haaretz news