Andaa 227000Wakuu ninataka nianze mafunzo ya driving ( usafiri wa kawaida, sio mabasi wala magari makubwa) hapo VETA chang'ombe mwezi wa saba mwishoni, je gharama zake zikoje na muda mpaka kuhitimu? Na je baada ya kuhitimu nitapata leseni?. MSAADA TAFADHALI.
Pata leseni kwanza, driving utaenda baadaye! I mean, lazima uwe na leseni ya Lena. Kwa hiyo, anza process za kutafuta Tin number kama huna, ukishapata, nenda kalipie TRA kupata hiyo lena. Baada ya hapo ndio utaenda driving...