Drinkers za nguruwe zitakuwa Arusha (19-21 May, 2016)

Fuga Kisasa

Senior Member
Jan 16, 2016
165
91
Habari zenu wadau,

Siku ya tarehe 19 mpaka tarehe 21 mwezi wa tano 2016 nitakuwa ARUSHA na drinkers kwaajili ya kunyweshwea maji nguruwe wako. Hivyo kama unahitaji wasiliana nasi kwa namba 0625 504 952

Wakazi wote wa Arusha na mikoa ya jirani wekeni oda zenu sasa. Anza sasa kufuga kisasa na ufurahie matunda ya ufugaji bora. KARIBUNI SANA
_____________________
MREJESHO: Nashukuru kwa kupiga simu na kuweka oda, muitikio ni mkubwa sana kwa watu wa Arusha na Moshi. Wote mlioweka oda mtapata mzigo wenu, karibuni katika ufugaji wa kisasa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…