VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Mwanasiasa 'huru' nchini, Dr. Wilbrod Slaa amesema kuwa sukari ikikosekana kwa wiki moja,Serikali yaweza kuangushwa. Katibu Mkuu huyo wa zamani wa CHADEMA aishiye nchini Canada kwasasa amesema sukari ni bidhaa muhimu.
Dr. Slaa alikuwa akizungumzia sakata la sukari linaloendelea nchini. Alizungumza kwa njia ya simu na gazeti la Mtanzania. Pasco upo?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Ruvuma)
Nimesikia kwenye magazeti anaagiza mifuko ya jamii ijiingize kwenye biashara ya sukari! Tafadhali mshaurini asiwatie katika matata wastaafu. Mifuko isijiingize katika biashara kichaaSerikali ya magufuli haiwezi kushindwa jambo lazima itashinda jaribu hili.
Asante, badala yakupigana na watu binafsi wanaosemekana wamehodhi biashara hii! Na sasa anataka kuingiza mifuko ya jamii, atawaua wastaafu. Tukumbushane pia kuwa hawa wenye viwanda vya sukari walishagoma kununua hata hiyo miwa ya wakulima wadogo ati kwa sababu serikali inaruhusu sukari ya nje kuingia nchini. Bodi ya sukari haikuchukua hatua yoyote.Issue ya sukari ni rahisi sana kudeal nayo tena bila kutumia misuli mingiiiiiiiiiiiiiiiii.
1.Watoe RUZUKU kwa wakulima wa miwa.
2.Wapunguze KODI kwenye viwanda vyetu
3.Waongeze KODI kwenye SUKARI itakayoagizwa toka nje.
4.Kuongeza uzalishaji kama vile kununua mitambo mipya ya kisasa
Ukipunguza KODI ya sukari ya ndani na kuongeza kodi kwenye sukari ya nje huna haja ya kumfuatilia mfanyabiashara.SUkari yake itakuwa juu na haitanunuliwa kihivyo na automaticaly kupunguza uagizaji wa sukari
Duuuh!(1.9.2016)?ushajua atakachosema hiyo siku ikifika!Dr.Slaa "Siasa ni sayansi"(1.9.2016),inashangaza Chadema ya Mashinji inavyodidimia.
Akafie huko, spent force!Mwanasiasa 'huru' nchini, Dr. Wilbrod Slaa amesema kuwa sukari ikikosekana kwa wiki moja,Serikali yaweza kuangushwa. Katibu Mkuu huyo wa zamani wa CHADEMA aishiye nchini Canada kwasasa amesema sukari ni bidhaa muhimu.
Dr. Slaa alikuwa akizungumzia sakata la sukari linaloendelea nchini. Alizungumza kwa njia ya simu na gazeti la Mtanzania. Pasco upo?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Ruvuma)