Dr. Slaa na Josephine katika pozi

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,874
Imekuwa nadra sana kwa sasa Dr Slaa na mwezi wake Josephine kuonekena hadharani, baada ya safari yake ya kwenda kuishi Canada, Dr Slaa amekuwa adimu sana hata humu jukwaani
Hapa akiwa na Josephine.
 
Wametokelezea utafikir ma black America . Dr kawa Kijana kabisa suti kaweka pembeni
 
Dr. amekuwa kijana kwakweli na wamependeza na wanaonekana ni wenye furaha hilo ndo jambo la Msingi, dr. anachukiwa kwa maamuzi yake binafsi kama raia wa Tanzania ingekuwa Enzi yuko chadema leo angemwagiwa sifa zoote, lakin kwa vile aliwapotezea na hakutaka kuwa mnafiki leo ataambulia matusi na kejeli, baba kula maisha haijalishi ni Mkimbizi au umekimbizwa Muhimu hujawa mtumwa wa Mbowe wala Lowasa uko huru, salute kwako mzee, MAISHA BAADA YA UCHAGUZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…