Dr Musukuma alia na Ufisadi wa IPTL asema tangu Enzi za Kafulila hadi Leo bado CAG analeta Madudu ya IPTL na Bunge linakosa Meno!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,035
164,307
Mbunge wa Geita Vijijini Dr Musukuma amehoji " kama bunge halina meno sasa tuko humu Ndani kufanya kitu gani?"

Musukuma amedai tangu enzi za Kafulila aliyeitwa Tumbiri, tukaambiwa ni vihela vya mboga hadi Leo bado CAG anatuletea Ripoti ya Wizi wa IPTL na bunge hatufanyi lolote

Source: TBC

My take; Wabunge zaidi ya 300 wa Tanganyika wanamshindwa IPTL
 
Si wafunguke tu bila kumung'unya maneno??? Waseme tu Mwenyekiti wetu wa Chama hana utashi wa kupambana na Rushwa na ubadhilifu
 
Mbunge wa Geita Vijijini Dr Musukuma amehoji " kama bunge halina meno sasa tuko humu Ndani kufanya kitu gani?"

Musukuma amedai tangu enzi za Kafulila aliyeitwa Tumbiri, tukaambiwa ni vihela vya mboga hadi Leo bado CAG anatuletea Ripoti ya Wizi wa IPTL na bunge hatufanyi lolote

Source: TBC

My take; Wabunge zaidi ya 300 wa Tanganyika wanamshindwa IPTL
Hata TBC nao wameanza kujua a E I o u !
Musukuma jina litarudi kweli ??!!
 
Mbunge wa Geita Vijijini Dr Musukuma amehoji " kama bunge halina meno sasa tuko humu Ndani kufanya kitu gani?"

Musukuma amedai tangu enzi za Kafulila aliyeitwa Tumbiri, tukaambiwa ni vihela vya mboga hadi Leo bado CAG anatuletea Ripoti ya Wizi wa IPTL na bunge hatufanyi lolote

Source: TBC

My take; Wabunge zaidi ya 300 wa Tanganyika wanamshindwa IPTL
Wakitaka hilo bunge liwe na meno waingie madarakani kwa kura halali za wananchi. Kinyume na hapo watakuwa wachekeshaji tu wa mfalme.
 
Mbunge wa Geita Vijijini Dr Musukuma amehoji " kama bunge halina meno sasa tuko humu Ndani kufanya kitu gani?"

Musukuma amedai tangu enzi za Kafulila aliyeitwa Tumbiri, tukaambiwa ni vihela vya mboga hadi Leo bado CAG anatuletea Ripoti ya Wizi wa IPTL na bunge hatufanyi lolote

Source: TBC

My take; Wabunge zaidi ya 300 wa Tanganyika wanamshindwa IPTL
Mambo magumu haya wakienda kwenye party caucus wataambiwa wameogezewa mishahara Toka 14m mpaka 18m ili wanyamaze wakubwa wale bila bugdha

Kama wanaleta kelele basi posho nazo zipndolewe na waletewe kikokotoo kama walimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom