Kisumbo Member Jun 22, 2012 52 12 Mar 19, 2016 #1 Wadau nilikuwa naulizia Dr Kisenge aliyekuwa anafanya clinic ya watoto pale Sanitas amehamia wapi coz sasa nizaidi ya miezi miwili hamna clinic yake pale Sanitas. Natanguliza shukrani
Wadau nilikuwa naulizia Dr Kisenge aliyekuwa anafanya clinic ya watoto pale Sanitas amehamia wapi coz sasa nizaidi ya miezi miwili hamna clinic yake pale Sanitas. Natanguliza shukrani