Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pichani akitoa mkono wa pole jana kwa wafiwa, ndugu, jamaa na marafiki kwenye msiba wa aliyekuwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu nyumbani kwake Tabata Kimanga jijini hapa Dar. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.
atapati wapi mda kazi za ukuu wa mikoa uwaziri umakamu rais uwaziri mkuu ukatibu anafanya zote huo muda kutembelea wafiwa hawezi pata. ila mda wa kupiga panga rambi rambi hawezi kosa.