DR Congo: Wafungwa 129 wauawa wakijaribu kutoroka Gerezani

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,591
8,795
Waziri wa Mambo ya Ndani, Shabani Lukoo amesema, Watu 129 wameuawa wakati wakijaribu kutoroka katika Gereza Kuu la Makala jijini Kinshasa na wengine 59 wakijeruhiwa.

Waziri Lukoo ametaja madhara mengine yaliyotokea katika tukio hilo ni pamoja na baadhi ya Majengo ya Utawala kuchomwa moto, ikiwemo Maghala ya Chakula na Hospitali.

==========

Democratic Republic of Congo's government said at least 129 people were killed while trying to escape from the central Makala prison in the capital Kinshasa late on Sunday, adding that the situation was now under control.

In a statement posted on X early on Tuesday, Interior Minister Shabani Lukoo said a fire had also broken out in the jail's administrative building, its food depots and a hospital. Some 59 people were wounded, he added.

"The mass escape attempt at Makala central prison resulted in the loss of life and significant material damage," he said in the video statement.

Earlier, a prison official had said no prisoners had succeeded in escaping, adding that those who tried to escape had been killed. The government was investigating the incident.

The break out attempt occurred around 2:00 a.m. (0100 GMT) on Sunday. Prisoners told Reuters they had heard heavy gunfire, as well as sounds of prisoners outside.

Reuters
 
Wafungwa pale walikua na mazingira magum sana pale ndani, in short it was over populated 😕
 
Congo magonjwa ya mlipuko kila cku
Vita kila cku
Yaani haipiti week unaskia watu 1000 au 200 wamekufaa
Yaani kama inhewezekana ilibid tuwatawale ili tuwalinde
 
Wafungwa pale walikua na mazingira magum sana pale ndani, in short it was over populated 😕
Lengo la kwenda jera ni kubadili tabia ndio maana Zanzibar wanaitwa chuo Cha mafunzo ila kwa huku Africa lengo ni kukufanya uwe katili zaid tofauti na nchi za Ulaya kule unakuta mtu amefungwa ila mahitaji yake yote ya kimwili na kiroho anayapata .
 
Congo magonjwa ya mlipuko kila cku
Vita kila cku
Yaani haipiti week unaskia watu 1000 au 200 wamekufaa
Yaani kama inhewezekana ilibid tuwatawale ili tuwalinde
Ile nchi ni kubwa sana alafu inaandamwa sana kutokana na mali ilizonazo kwahio ata sisi tutachemka tuu
 
Lengo la kwenda jera ni kubadili tabia ndio maana Zanzibar wanaitwa chuo Cha mafunzo ila kwa huku Africa lengo ni kukufanya uwe katili zaid tofauti na nchi za Ulaya kule unakuta mtu amefungwa ila mahitaji yake yote ya kimwili na kiroho anayapata .
Kabisa
 
Back
Top Bottom