Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Mwenzao kawaumbua ameona hii ya safari hii ningumu KumezaAngalau naye amenena jambo kwa leo, tumekusikia Dr Bana.
Alafu nitashanga sana wakisema Tanzania kuna DemokrasiaTANGU LINI CCM WALIHESHIMU MFUMO WA VYAMA VINGI NA SASA NDO VYAMA VYA UPINZANI VISIPOKUWA MAKINI VITAPOTEA KWANI RAISI ALIYEPO SIZANI KAMA ANAPENDA KUKOSOLEWA NA UPINZANI.
Ingekua raha sana Trump ashinde MarekaniHii nch yabd itawaliwe tena na wazungu bila hvyo mabavu yatazd kutawala kama sasa
TANZANIA YETU MATATIZO BW. CCM HAITAKUBALI MPAKA KWA NYUNDOMhadhiri kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es salaam ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa na mambo ya kijamii Dk Benson Bana amesema chama tawala nchini CCM lazima kikubali utamaduni na kanuni za kukubali mfumo wa vingi vya siasa.
Ameyasema hayo alipokuwa akizungumzia suala la upatikanaji wa Meya wa jiji la Dar es salaam ambapo limegubikwa na mambo ya siasa zizizofaa kwa maendeleo ya wananchi na wapenda demokrasia nchini.
''Kauli za mvutano na malumbano ya UKAWA na chama cha mapinduzi havitasaidia wananchi kwanza wanajidhalilisha, kinachotakiwa ni upinzani kutumia busara lakini chama tawala pia watambue kwamba walipokubali mfumo wa vyama vingi lazima wakubali mabadiliko na kuheshimu mfumo wa vyama vingi
"Hakuna sababu ya msingi ya kuwepo malumbano hadi watu wengine wapigwe na wengine kuwekwa rumande kwanza kazi kubwa ya umeya ni kuongoza vikao ingelikuwa tunatafuta mkurugenzi hapo sawa lakini hili wanakosea kwa kweli''-Amesema Dkt. Bana
Meya wa jiji la Dar es salaam ameshindwa kuchaguliwa mara kadhaa pamoja na kuwepo kwa uhalali wa kufanyika uchaguzi huo jambo ambalo limesababisha malumbano makali na kushikiliwa kwa wabunge wawili wa Chadema Saed Kubenea na Halima Mdee.
Ccm nikirusi kibaya sana sana kwa Taifa la TanzaniaTA
TANZANIA YETU MATATIZO BW. CCM HAITAKUBALI MPAKA KWA NYUNDO
CHAMA CHA MACHAFUKOCCM ni Majinga
Ukiwa mnafki inafika sehemu unajishtukia hata shetani akizeka.....Duuuuuu! Bana kwa Mara ya kwanza ameongea hoja JAPO kapindishapindisha.Wasomi wetu na SIASA za kinafiki karne ya 21.
Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es salaam ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa na mambo ya kijamii Dk Benson Bana amesema chama tawala nchini CCM lazima kikubali utamaduni na kanuni za kukubali mfumo wa vingi vya siasa.