Mzanzibari Huru
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 373
- 225
Wana Jamii
HII NI TATHMINI YANGU
Sisi wengine tunapenda kuyatizama mambo yanavyozuka na maana yake kiundani katika jamii yetu.
Kikawaida wengi wetu tunakuwa tunaburuzwa ovyo ovyo tu na fikra za watu wengine, watu wengine eti kwa sababu tu mtu amepenya katika tundu ya sindano akawa mkuu kupitia kichaka cha siasa, au kupitia kichaka cha dini, tunaona kwamba mawazo yeke mtu huyo yametoka mbinguni.
Tunalishindwa kufanya ni kuzitafakari fikra hizo kiundani kwa mantiki na kima cha juu. Mfano mzuri ni hili suala la bandari kupewa DPW imeleta zahama isiyokwisha na porojo refu sana, saa nyengine hata tunashindwa kuelewa watu wanazungumzia nini.
Ukweli wa maisha ni huu, adui mkubwa zaidi wa mtu ni fikra zake mwenyewe. Hili ndio tatizo sugu linaloisumbuwa jamii sio ya watanganyika walala hoi walio wengi tu bali watu waliowengi popote pale. Tatizo la pili, ukweli ni bidhaa adimu na chache sana. Tatizo la tatu, midomo ya wanaofaidika haijui maana ya neno "UKWELI KWA WOTE".
Sasa tuje katika suala nyeti la bandari. Kusema ukweli hata mie nilidhani kwamba watanganyika wamekasirika kwa kupewa Waarabu bandari ya DSM, nililogundukwa ni kuwa hata amgepewa Myahudi watanganyika wangewekwa vidudu kichwani na kupangiwa mazingira ya kuongeza porojo kama kawaida tu.
HAPO CHINI NDIO CHANZO CHA ZOGO LA DPW
Sababu ya kwanza: Chanzo kikubwa sana cha zogo kuhusu bandari kupewa DPW ni kwamba, bandari ndio penye mlo mkubwa wa KANISA kupitia taasisi moja iitwayo TRA. Kanisa wanachukuwa mabilioni kutoka serekalini, serekali inapata pesa za bure kupitia TRA. KANISA linachukuwa pesa hizo kwa kichaka cha uendeshaji wa mahospitali. Ni uzembe uliopita kipimo kuwaruhusu waendesha kwaya makanisani kuendesha sekta ya tiba. Matekeo yake hosptali zimezorora sana. Kanisa hawana sababu ya kuhisi kwamba DPW ni kitu chema sababu mlo wao wa bure ndio unawaaga hivi.
Sababu ya pili: ni kwamba mafisadi wanajaza matumbo yao yasiyoshiba abadan mupitia bandarini. Hawa pia huna la kuwafanya wakahisi DPW ni kitu chema.
Sababu ya tatu: ni wafanya biashara wakubwa. Wafanya biashara wanashirikiana na mafisadi walio bandarini katika kuhujumu uchumi. Wafanya biashara hao wahana pia sababu ya kufikiri DPW ni kitu chema kwao.
Kwahivo, kwa ninavo mie, zogo la DPW limeanzishwa na kuchochelewa na KANISA, MAFISADI na WAFANYA BIASHARA WAKUBWA. Na hao wote watatu ni wahujumu wa uchumi wa tanganyika.
Ahsanteni.