BENEDICT BONIFACE
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 267
- 450
Zilitakiwa kuwa ngapi Mkuu? Uwiano wa rejea na idadi ya kurasa ukoje, naomba kujifunza.View attachment 3187159
Uliwezaje kuandika kitabu cha kurasa 81 kwa rejea nne peke yake?
Kuwa na rejea ndogo kwenye maandiko kunaashiria kiasi kikubwa cha plagiarism, yaani wizi wa kitaaluma. Mawazo yote hayo huwezi kuyatoa kwenye vitabu vinne peke yake, ni ngumu sana.Zilitakiwa kuwa ngapi Mkuu? Uwiano wa rejea na idadi ya kurasa ukoje, naomba kujifunza.
Zilitakiwa kuwa ngapi Mkuu? Uwiano wa rejea na idadi ya kurasa ukoje, naomba kujifunza.Kuwa na rejea ndogo kwenye maandiko kunaashiria kiasi kikubwa cha plagiarism, yaani wizi wa kitaaluma. Mawazo yote hayo huwezi kuyatoa kwenye vitabu vinne peke yake, ni ngumu sana.
Uliandika mwenyeweVITABU HIVI NI VIZURI KWA WALIMU, NA WANAFUNZI WANATAKA KUA WALIMU VITAWASAIDIA