Doto Magari ana hoja kuhusu Wasomi, asikilizwe!

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
6,664
8,373
A). Mfanyabiasha Maarufu wa Magari nchini Ndugu Dotto Magari ameonekana kwenye mitandao akizungumzia namna Wasomi nchini wasivyojitambua Wala kutumia usomi wao kuongeza kipato. Na kutishia kwenye dimbwi la umaskini akifanikiwa Sana ananunua Hari ya IST Tena Kwa mikopo wa benki.

B). Namnukuu "wasomi mmesomea Njaa" jaman lolote.

C). Mheshimiwa Dotto ana hoja ya msingi kuhusu kubweteka Kwa Wasomi wetu. Asikilizwe, ana hoja.

NB: Wasomi msikilizeni Kwa makini, msitumie mihemko kumjibu. Bali jibuni hoja kwa hoja. Msimtukane Wala kumbughudhi hapo ndo kipimo cha usiku wenu kitaonekana.

 
Sasa kama msomi anatoka kazini saa 11 jioni, analala hadi saa moja asubuhi ndio aende tena kazini kuna mtu hapo? Masaa 12 yupo tu kisingizio usiku, hata kuanzisha kijiwe cha supu ya jioni au hata kuchoma makuku zezeta na viungo kibao hataki atakuzaje kipato
 
A). Mfanyabiasha Maarufu wa Magari nchini Ndugu Dotto Magari ameonekana kwenye mitandao akizungumzia namna Wasomi nchini wasivyojitambua Wala kutumia usiku wao kuongeza kipato.

B). Namnukuu "wasomi mmesomea Njaa" jaman lolote......

3). Mheshimiwa Dotto ana hoja ya msingi kuhusu kubweteka Kwa Wasomi wetu. Asikilizwe, ana hoja.

NB: Wasomi msikilizeni Kwa makini, msitumie mihemko kumjibu.
Ukiumwa unaharisha huko mbona unasumbua madaktari si ujitibu mwenyewe bwege wewe kama kusoma hakuna maana
Daktari asingesoma huyo Doto magari angetibiwa na hayo magari yake takataka toka majalala ya Japan anayouza huyo bwege?

Ndege anazopanda ATCL mfano marubani wasomi wasingesoma angeendesha yeye? Au treni ya SGR yeye angeendesha kama kusingekuwepo na watu walioamua kusoma?

Madaktari huyo bwege Dotto magari akija hosputalini kutibiwa na yeyote anayedharau wasomi hadharani iwe bungeni nk msimtibu na mwambieni kabisa elimu haina maana na kusoma hakuna maana ikiwemo.kusomea udaktari nenda kwa wasiosoma wenzio wakakutibu bwege wewe

Wasomi ifike mahali mchachamae kuleta heshima kwenye elimu

Watu kama hawa wakikanyaga hospital wafanyizieni

Yuko na kule tiktok wasomi na wapenda wasomi susieni magari yake asinine mtu kwake
 
A). Mfanyabiasha Maarufu wa Magari nchini Ndugu Dotto Magari ameonekana kwenye mitandao akizungumzia namna Wasomi nchini wasivyojitambua Wala kutumia usomi wao kuongeza kipato. Na kutishia kwenye dimbwi la umaskini akifanikiwa Sana ananunua Hari ya IST Tena Kwa mikopo wa benki.

B). Namnukuu "wasomi mmesomea Njaa" jaman lolote......

C). Mheshimiwa Dotto ana hoja ya msingi kuhusu kubweteka Kwa Wasomi wetu. Asikilizwe, ana hoja.

NB: Wasomi msikilizeni Kwa makini, msitumie mihemko kumjibu.
Inafurahisha sana kusikia hayo aliyozungumza napia ina sikitisha sana aliyoyazungumza
 
Sasa kama msomi anatoka kazini saa 11 jioni, analala hadi saa moja asubuhi ndio aende tena kazini kuna mtu hapo? Masaa 12 yupo tu kisingizio usiku, hata kuanzisha kijiwe cha supu ya jioni au hata kuchoma makuku zezeta na viungo kibao hataki atakuzaje kipato
Anatafuta pesa akanunue gari kwa Dotto Magari sasa huyo Dotto Magari kaamua kwa makusudi kabisa kuua brand yake ya magari niliona kule tick tick sasa magrroup kibao WhatsApp wanaambiana usiende kwa Dotto Magari kununua gari kama msomi auzie wasiosoma wenzie
 
Ukiumwa unaharisha huko mbona unasumbua madaktari si ujitibu mwenyewe bwege wewe kama kusoma hakuna maana
Daktari asingesoma huyo Doto magari angetibiwa na hayo magari yake takataka toka majalala ya Japan anayouza huyo bwege?

Ndege anazopanda ATCL mfano marubani wasomi wasingesoma angeendesha yeye? Au treni ya SGR yeye angeendesha kama kusingekuwepo na watu walioamua kusoma?

Madaktari huyo bwege Dotto magari akija hosputalini kutibiwa na yeyote anayedharau wasomi hadharani iwe bungeni nk msimtibu na mwambieni kabisa elimu haina maana na kusoma hakuna maana ikiwemo.kusomea udaktari nenda kwa wasiosoma wenzio wakakutibu bwege wewe

Wasomi ifike mahali mchachamae kuleta heshima kwenye elimu

Watu kama hawa wakikanyaga hospital wafanyizieni

Yuko na kule tiktok wasomi na wapenda wasomi susieni magari yake asinine mtu kwake
Huyu jamaa ni mpumbavu sana hajielewi. Hajui hata wigo wa wasomi unaanzia wapi unaishia wapi
 
Inafurahisha sana kusikia hayo aliyozungumza napia ina sikitisha sana aliyoyazungumza
Inasikitisha anaua brand name ya biashara yake mbele ya wateja

Tatizo la kutosoma ndio hilo hajui brand ni nini? Inajengwaje na inakufaje? Yeye kaamua kuua brand na kukimbiza wateja

Shida ya kutosoma hiyo.Wateja wasomi ndio bye bye mjinga sana huyo
 
Anatafuta pesa akanunue gari kwa Dotto Magari sasa huyo Dotto Magari kasmua kwa makusudi kabisa kuua brand yake ya magari niliona kule tick tick sasa markup kibao WhatsApp wanaambiana usiende kwa Dotto Magari kununua gari kama msomi auzie wasiosoma wenzie
Ni kama ana taarifa za Wasomi wengi kununua IST tu huku yeye akijikita kwenye SUVs (Land rover discovery, Range), Ford, Land cruiser etc.
 
Sasa kama msomi anatoka kazini saa 11 jioni, analala hadi saa moja asubuhi ndio aende tena kazini kuna mtu hapo? Masaa 12 yupo tu kisingizio usiku, hata kuanzisha kijiwe cha supu ya jioni au hata kuchoma makuku zezeta na viungo kibao hataki atakuzaje kipato
Hujasikiliza Bill Gate Bililionea namba moja duniani hulala masaa manne tu katika saa 24

Hujamsikiliza Mo Dewji Bilionea kulalla kwake hulala usiku wa manane na kuamka saa 10 alfajiri

Billy Gates kaajiri mamilioni dunia nzima na muda mwingi kazini huyo bwege Dotto Magari ameajiri wangapi kununua Kigali kibovu tu lazima uongee naye yeye hana hata Secretary wa kupokea simu ofisi yake simu yake binafsi ya mkononi

Kulala sana unskuona sifa lofa wewe
 
Ni kama ana taarifa za Wasomi wengi kununua IST tu huku yeye akijikita kwenye SUVs (Land rover discovery, Range), Ford, Land cruiser etc.
Shida iko wapi gari ni usafiri tu wa kukutoa point A kwenda Point B

Lakini sababu hajasoma hajielewi yeye anafanya biashara za magari kama wasomi wengi wanapenda IST si ndio ashukuru kuwa kuna soko la magari ya IST soko ni wasomi

Sasa sababu hajasoma hayaelewi hayo kuwa dukani uza kitu kina wateja

Mtu asiyesoma aweza jitutumua tutumua lakini kuna mahali lazima anase ujinga wake uonejane wazi ndio huyu Dotto Magari kanasa
 
Back
Top Bottom