Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,089
- 2,097
Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu akieleza mkakati wa chama hicho kufungua kesi za kupinga kanuni za uchaguzi zinazoongoza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 zilizosainiwa leo, Jumamosi Aprili 12.2025 jijini Dodoma akidai kuwa ni kandamizi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Miongoni mwa kanuni hizo ni ile inayoeleza kuwa chama cha siasa kilichoshindwa kusaini kanuni hizo kimepoteza sifa ya kuwa miongoni mwa vyama shiriki vya uchaguzi huo, na chaguzi zote ndogo zitakazofanyika ndani ya kipindi cha miaka mitano (5) ijayo