Sasa watu wanakuwa wanashtuka wakati mwenzenu ali ahidi kwenye kampeni ata fanya hivo.
Nadhani kasha jipanga kwa kila kitu
Yaan anaonekana kwanza hata hajali, anasema yeye alichaguliwa ku disrupt status quo kwa hiyo haoni tabuHuyo Trump lazima awe ni mtu mwenye pumzi sana, yaani anapingwa kila sehemu lakini anajipiga piga kifua hadi raha.
Hajali? umemuona leo kwenye TV alivyochoka hata kuongea ilikuwa shidaYaan anaonekana kwanza hata hajali, anasema yeye alichaguliwa ku disrupt status quo kwa hiyo haoni tabu
Nilichojifunza siasa ni kitu kingine jaman na fitna zake ni kubwa kama sio mwanasiasa utaishia kulaumu kila kitu na hicho ndicho kimachomkumba trump kwa sasa maana anaandamwa kuanzia snl mpk matangazo ya budwiser ktk superbowl hahahha jamaa akichokozwa tu anapanick na kukimbia twitwer
Ninachoona pence mwenyewe anamuogopa na waliomzunguka ktk wasaidiz wake pia juzi kapiga bit hapo WH staff wote wanawake wavae kikike hahhaha. Watu wanauliza first lady yuko wapi maana hata weekend haji huko Dc ila ivanka alipo babaake yy yupo mpk imekuwa kero ila ajue kuwa Establshment ndio imejaa kila kona from congress to judiciary ambapo hachomoi kitu. Akina maccain wamemkalia kooni.Huyo ataukimbia urais.
Hicho kiti ukikikalia masaa mawili halafu uwe mtu mihemko, utakiacha mwenyewe.
Nime icheki, sijaona kama pale alikuwa kachoka.Hajali? umemuona leo kwenye TV alivyochoka hata kuongea ilikuwa shida
Trump ni mtu wa kipekee sana.tangu kwenye mchakato wa kuwa mgombea alipingwa kila kona, Republicans wenyewe walikua hawamtaki..hao ma elites....establishiment..wote walikua wanampinga...angekua na roho ndogo asingefika hapa leo.Sasa hivi hawamuwezi huyu mtu..akili zake anazijua mwenyewe tu na hiyo Inner Circle yake sababu sitaki kuamini hayo mambo anayofanya anakurupuka...haiwezekeni..kuna watu wako nyuma yake.....Pia namuona anajiamini sana na anasimamia anachoamini...
Hao waingereza wafanye yanayowahusu....Brexit bado inawapa tabu....Kama wanataka wahamiaji...wafungue milango tu....watu waende
Trump anavyopenda Audience . Asijali kukatazwa!
Halafu akirudi Marekani atawasimulia nini kama hawezi ongea na kama watu watakuwa wengi kumshuhudia?
Kila anapoenda kuongea lazima asemelee media, kama hawezi ongea UK si itakuwa shida.