Donald Trump ni mtu muhimu sana kwa mustakabali wa amani ya dunia

Feb 13, 2024
68
175
Ndugu jamaa na marafiki nadhani nyie nyote ni mashaidi ya kwamba Dunia hii si salama tena, migogoro ni mingi sana katika hii Dunia, na hii migogoro kwa kiasi kikubwa inasababishwa na ubinafsi (ego) ya sisi wanadamu.

Binafsi naona huyu bwana Donald trumps akiingia madarakani kuna huu mgogoro wa Russia na Ukraine ambao unatishia usalama wa Dunia utafika mwisho, ila kama huyu mwanamama ataishika nchi tutegemee mambo kua mabaya zaidi
 
Kabla sijaendelea kuchangia naomba kuuliza
Uzi ndio umeisha hapa ama unaendelea tongojee umalize ndio tuchangie?
 
Back
Top Bottom